Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Bunge la 11 kulikua na mama Abduli? Mbowe sio mjinga kushindwa kumuachia Lissu Chama!Achangie wakati za mama Abdul zipo
Tena si kidogo vimekosekana vigoma tuHawa watu wanachambana?
Nisaidie kushangaaa.Tangu 2011 alikuwa hachangii halafu hamkumuondoa, mkampa na nafasi ya kugombea urais pamoja na umakamu mwenyekiti.
2024 kachukuwa fomu ya kugombea uenyekiti ndiyo mnatafuta kasoro zake?
Mlikuwa wapi kuyasemea haya tangu 2011??
Same logic tui apply kwa Mbowe. Haya yote mnayoyasema kwa Mbowe hamkuyajua kwa miaka 20?Au mmeyajua baada ya kuchukua fomu na kutomuachia nafasi ya Uenyekiti Lissu?Ukiwa kwenye nyumba ya vioo usitupe mawe au else.......Tangu 2011 alikuwa hachangii halafu hamkumuondoa, mkampa na nafasi ya kugombea urais pamoja na umakamu mwenyekiti.
2024 kachukuwa fomu ya kugombea uenyekiti ndiyo mnatafuta kasoro zake?
Mlikuwa wapi kuyasemea haya tangu 2011??
kwani yeye alikuwa wapi kuyasema ya mbowe? wote wanafiki hakuna mkweli hapoTangu 2011 alikuwa hachangii halafu hamkumuondoa, mkampa na nafasi ya kugombea urais pamoja na umakamu mwenyekiti.
2024 kachukuwa fomu ya kugombea uenyekiti ndiyo mnatafuta kasoro zake?
Mlikuwa wapi kuyasemea haya tangu 2011??
Tangu 2011 alikuwa hachangii halafu hamkumuondoa, mkampa na nafasi ya kugombea urais pamoja na umakamu mwenyekiti.
2024 kachukuwa fomu ya kugombea uenyekiti ndiyo mnatafuta kasoro zake?
Mlikuwa wapi kuyasemea haya tangu 2011??
Uchaguzi mkuu ni kila baada ya miaka mitano sio jambo la dharula, cha kishangaza hawa mafisadi hawana hela, pesa za join the chain zilenda wapi?