Musachawenyu
Member
- Aug 6, 2020
- 84
- 109
Lissu sio mjinga achangie pesa wakati anajua zinaenda kuibiwa. Wajinga ndio waliwaoNaona Wenje kaamua kumkalia kooni Tundu Lissu anafumua kila kilichojificha!
Je anayoyasema yanaukweli kiasi gani ? au ndiyo kampeni za kuchafuana. Ila aweke akiba ya maneno maana sisi ni People tutakutana tu!
Unapokuwa Mbunge wa CHADEMA unachangia Chama, Lissu mpaka anamaliza Bunge la 11 hajachangia hata Tsh.100 CHADEMA“ - Wenje
Waraka wa Chacha Wangwe unaposema Mbowe alifoji majina ya viti maalum, ndiyo kwanza wengine tunaona mitandaoni. Umetufunua kuwa hata COVID-19 kawapeleka yeye.Same logic tui apply kwa Mbowe. Haya yote mnayoyasema kwa Mbowe hamkuyajua kwa miaka 20?Au mmeyajua baada ya kuchukua fomu na kutomuachia nafasi ya Uenyekiti Lissu?Ukiwa kwenye nyumba ya vioo usitupe mawe au else.......
Same question mlikuwa wapi tokea 2004?
Aliyoyasema Lisu hakuna hata moja ambako ni jipya.kwani yeye alikuwa wapi kuyasema ya mbowe? wote wanafiki hakuna mkweli hapo
Wamelazimishwa kuyasema mapungufu yake baada ya Lissu kuwashutumu wenzake huvyo lazima nao waonyeshe kwa data jinsi ambavyo Lissu hafai.Tangu 2011 alikuwa hachangii halafu hamkumuondoa, mkampa na nafasi ya kugombea urais pamoja na umakamu mwenyekiti.
2024 kachukuwa fomu ya kugombea uenyekiti ndiyo mnatafuta kasoro zake?
Mlikuwa wapi kuyasemea haya tangu 2011??
Ajabu sanaTangu 2011 alikuwa hachangii halafu hamkumuondoa, mkampa na nafasi ya kugombea urais pamoja na umakamu mwenyekiti.
2024 kachukuwa fomu ya kugombea uenyekiti ndiyo mnatafuta kasoro zake?
Mlikuwa wapi kuyasemea haya tangu 2011??
Yaani ukiwasikiliza watetezi wa Lissu unabaki unacheka,wameishiwa pumzi kabisa wanafikiri siasa ni kufoka foka.Bunge la 11 kulikua na mama Abduli? Mbowe sio mjinga kushindwa kumuachia Lissu Chama!
Kwa pesa hipi ?.Lissu si lolote si chochote.Chama kimeshagawanyika. Chama kipya kitazaliwa au kuwa adopted na kitakuwa na nguvu sawa au kuzidi chadema.
Hatimaye nguruwe kala mwanaye
Mwenyewe aliingia kwa shari maskini!! Akajua akina Slaa na mashujaa wengine wa mitandaoni ndo wenye CHADEMA!! POOR HIM!!Yaani ukiwasikiliza watetezi wa Lissu unabaki unacheka,wameishiwa pumzi kabisa wanafikiri siasa ni kufoka foka.
Naona Wenje kaamua kumkalia kooni Tundu Lissu anafumua kila kilichojificha!
Je anayoyasema yanaukweli kiasi gani ? au ndiyo kampeni za kuchafuana. Ila aweke akiba ya maneno maana sisi ni People tutakutana tu!
Unapokuwa Mbunge wa CHADEMA unachangia Chama, Lissu mpaka anamaliza Bunge la 11 hajachangia hata Tsh.100 CHADEMA“ - Wenje
Aahaa uwongoooNaona Wenje kaamua kumkalia kooni Tundu Lissu anafumua kila kilichojificha!
Je anayoyasema yanaukweli kiasi gani ? au ndiyo kampeni za kuchafuana. Ila aweke akiba ya maneno maana sisi ni People tutakutana tu!
Unapokuwa Mbunge wa CHADEMA unachangia Chama, Lissu mpaka anamaliza Bunge la 11 hajachangia hata Tsh.100 CHADEMA“ - Wenje
Hizo data wazilete tuzione. Maana data za Mbowe ziko wazi.Wamelazimishwa kuyasema mapungufu yake baada ya Lissu kuwashutumu wenzake huvyo lazima nao waonyeshe kwa data jinsi ambavyo Lissu hafai.
Kusema lissu hajawahi kuchangia chama ni uwongoWamelazimishwa kuyasema mapungufu yake baada ya Lissu kuwashutumu wenzake huvyo lazima nao waonyeshe kwa data jinsi ambavyo Lissu hafai.
Umetoa hoja makiniTangu 2011 alikuwa hachangii halafu hamkumuondoa, mkampa na nafasi ya kugombea urais pamoja na umakamu mwenyekiti.
2024 kachukuwa fomu ya kugombea uenyekiti ndiyo mnatafuta kasoro zake?
Mlikuwa wapi kuyasemea haya tangu 2011??
Hata ingekuwa kweli, kama mishahara, posho na malipo ya kujitibu alidhulumiwa na ubunge akanyang'anywa, angechangiaje !!!Kusema lissu hajawahi kuchangia chama ni uwongo
Hizo ni nukuu sio evidence kuwa fulani kasema.Hizo data wazilete tuzione. Maana data za Mbowe ziko wazi.
** Alighushi majina ya viti maalum mwaka 2005 (rejea waraka wa Chacha Wangwe).
**Amewaingiza COVID-19 bungeni kinyemela.
**Amechukua mabilioni ya Abdul na kuyatumia kwenye uchaguzi na kutaka kumhonga Lisu.,