Wenje na Peter Msigwa hata ukuu wa wilaya tu hamjapewa

Wenje na Peter Msigwa hata ukuu wa wilaya tu hamjapewa

Watajijua wenyewe, kama waliingia na kutoka bila kusaidia hii nchi kwa jinsi inavoendeshwa!! wakalale hukoo!!
 
Acha wapambane na hali zao hata huko walipo hawaaminiki, tena kwakuwa wameonesha tabia za kimalayamalaya
 
Leo hii lijualikali ni DC, wenje na peter Msigwa hawana cheo chochote, hivi wanalala? Vipi mitarimbo wanasmamisha kweli?
Daaaa! Wenjeee,daaaaa peter Msigwa hata UJUMBE wa nyumba kumi hamna?πŸ˜ŠπŸ€£πŸ˜΅β€πŸ’«πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€
Hii ni kampeni maalum ya kutaka wapewe vyeo?
 
Leo hii lijualikali ni DC, wenje na peter Msigwa hawana cheo chochote, hivi wanalala? Vipi mitarimbo wanasmamisha kweli?

Daaaa! Wenjeee, daaaaa peter Msigwa hata UJUMBE wa nyumba kumi hamna?πŸ˜ŠπŸ€£πŸ˜΅β€πŸ’«πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€
Duuuh maisha sio poa. Maana wanaohitaji UDC ni wengi sana huko CCM nakila mtu anapambana kivyake. Ndo maana unaona wengi ni machawa.
 
kwani nyie mbona mtu akiwa tofauti na nyie mnamchukia sana , walikuambia wanatka hivyo ?
 
Back
Top Bottom