Wenje na Peter Msigwa hata ukuu wa wilaya tu hamjapewa

Watajijua wenyewe, kama waliingia na kutoka bila kusaidia hii nchi kwa jinsi inavoendeshwa!! wakalale hukoo!!
 
Acha wapambane na hali zao hata huko walipo hawaaminiki, tena kwakuwa wameonesha tabia za kimalayamalaya
 
Hii ni kampeni maalum ya kutaka wapewe vyeo?
 
Duuuh maisha sio poa. Maana wanaohitaji UDC ni wengi sana huko CCM nakila mtu anapambana kivyake. Ndo maana unaona wengi ni machawa.
 
kwani nyie mbona mtu akiwa tofauti na nyie mnamchukia sana , walikuambia wanatka hivyo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…