Humjui Abdul leo? Basi muulize Museven atakwambia Abdul ni naniWakuu,
Kwahiyo Abdul ni nani serikalini hadi aanze kumhoji kuhusu serikali kushindwa kumlipa Lissu pesa za matibabu? Yaani anaenda kupull strings kama nani?
Naona Wenye anatumia nguvu nyingi kujaribu kujiosha. Kwahiyo usiku huo alikuwa amempeleka Abdul kwa Lissu akiwa na hela za matatibabu kisirisiri?π
TUnaendelea kunywa mtori...
====
View attachment 3181310
Binadamu hapewi nafasi ya kujitetea lazima ataunda hadithiWakuu,
Kwahiyo Abdul ni nani serikalini hadi aanze kumhoji kuhusu serikali kushindwa kumlipa Lissu pesa za matibabu? Yaani anaenda kupull strings kama nani?
Naona Wenye anatumia nguvu nyingi kujaribu kujiosha. Kwahiyo usiku huo alikuwa amempeleka Abdul kwa Lissu akiwa na hela za matatibabu kisirisiri?π
TUnaendelea kunywa mtori...
====
View attachment 3181310
Ndio dua zenu hizo ila hazitakuwaLissu kwenye sabduku la kura atapigwa kama ngoma
Mtoto wa kiongozi naye ni kiongozi, hahitaji baraka za katiba.Wakuu,
Kwahiyo Abdul ni nani serikalini hadi aanze kumhoji kuhusu serikali kushindwa kumlipa Lissu pesa za matibabu? Yaani anaenda kupull strings kama nani?
Naona Wenye anatumia nguvu nyingi kujaribu kujiosha. Kwahiyo usiku huo alikuwa amempeleka Abdul kwa Lissu akiwa na hela za matatibabu kisirisiri?π
TUnaendelea kunywa mtori...
====
View attachment 3181310
Mkuu muache athibitishe ukweli wa kauli ya Tundu Lissu kuhusu rushwa ilivyootapakaa ndani ya upinzani.Wakuu,
Kwahiyo Abdul ni nani serikalini hadi aanze kumhoji kuhusu serikali kushindwa kumlipa Lissu pesa za matibabu? Yaani anaenda kupull strings kama nani?
Naona Wenye anatumia nguvu nyingi kujaribu kujiosha. Kwahiyo usiku huo alikuwa amempeleka Abdul kwa Lissu akiwa na hela za matatibabu kisirisiri?π
TUnaendelea kunywa mtori...
====
View attachment 3181310
Chadema kumejaa manyumbu kwelikweli.Wakuu,
Kwahiyo Abdul ni nani serikalini hadi aanze kumhoji kuhusu serikali kushindwa kumlipa Lissu pesa za matibabu? Yaani anaenda kupull strings kama nani?
Naona Wenye anatumia nguvu nyingi kujaribu kujiosha. Kwahiyo usiku huo alikuwa amempeleka Abdul kwa Lissu akiwa na hela za matatibabu kisirisiri?π
TUnaendelea kunywa mtori...
====
View attachment 3181310
Kama uchaguzi ni huru na haki ni 50 kwa 50 usijiamini, watu wanataka changesLissu kwenye sabduku la kura atapigwa kama ngoma
Wenje the Imbecile.Wakuu,
Kwahiyo Abdul ni nani serikalini hadi aanze kumhoji kuhusu serikali kushindwa kumlipa Lissu pesa za matibabu? Yaani anaenda kupull strings kama nani?
Naona Wenye anatumia nguvu nyingi kujaribu kujiosha. Kwahiyo usiku huo alikuwa amempeleka Abdul kwa Lissu akiwa na hela za matatibabu kisirisiri?π
TUnaendelea kunywa mtori...
====
View attachment 3181310
Kosa vyote, lakini sio akili na busara!Wakuu,
Kwahiyo Abdul ni nani serikalini hadi aanze kumhoji kuhusu serikali kushindwa kumlipa Lissu pesa za matibabu? Yaani anaenda kupull strings kama nani?
Naona Wenye anatumia nguvu nyingi kujaribu kujiosha. Kwahiyo usiku huo alikuwa amempeleka Abdul kwa Lissu akiwa na hela za matatibabu kisirisiri?π
TUnaendelea kunywa mtori...
====
View attachment 3181310
Kwa nilivyoona wenje Kuna vitu kaviacha kwenye sakata la abdulMende wa CCM walio kuwemo ndani ya CCM wakimendea kimya kimya na kukihujumu chma hicho sasa wanabainika mmjoa baada ya mwingine.
Huyu Wenje ni dhahiri alikuwa andikizi la CCM ndani ya CHADEMA.
Sasa ni wakati wa kukisafisha chama na huu uchafu ulio kuwa ukikizonga kwa muda mrefu na kuzuia wananchi kukiamini chama hiki
Baada ya Mwenyekiti wa chama naye kunaswa kwa ulaghai wa Samia; hawa wengine walio kua chini wakifanya uchafu kimya kimya nao wakaata ujasiri wa kuzidisha maovu ndani ya chama chao.
Hatuwa yao ya mwisho ilikuwa ni kukisalimisha chama kwa CCM kwa kutumia hadaa za kuunda serikali ya Umoja. Lengo la hawa watu lilikuwa na wao waingie serikalini wakale kwa kamba zao ndefu anazo watengenezea mama. mwenyewe.
Huyu Wenje, zungumza yake ekee inamwonyesha alivyo mwongo!