Wenje: Nilimkopesha Lissu Tsh 10 million bado namdai

Ama kweli Heri nguo kuraruka kuliko akili .

Hawa Jamaa na Mbowe wake kwann wanatanguliza Vitu na Mali ?.

Kumbe ndio maana ABDUL ilikua rahisi kwake kumpata Mbowe na Wenje.

Watu wanaouza utu wΓ o Kwa vipande vya Fedha .

Basi Hela yenyewe ingekua ya halali, ni Hela za kuhongwa na Akina Abdul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…