Wenje: Nilimkopesha Lissu Tsh 10 million bado namdai

Wenje: Nilimkopesha Lissu Tsh 10 million bado namdai

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Ezekiel Wenje amesema alimkopesha makamu Mwenyekiti wa Chadema shilingi million 10 anamdai

Source: One on One tv

Baadae Mlale unono 😂🔥
Hayo madeni feki ndiyo hata Mbowe huyatengeneza kwenye pesa za chama na kisha kujilipa kienyeji ikiwa ni mbinu ya kutakatisha pesa alizoiba kwenye hazina ya chama, Hao watu wawili mbowe na wenje ni mabingwa wa kutengeneza madeni hewa, wakipewa ridhaa ya kuongoza chama watakifirisi kwa madeni hewa na udalali
 
Hawa wameishiwa content. Kukopeshana kunahusiana vipi na swala Zima la uchaguzi wa CHADEMA?
Wenje ni mtu mjinga mjinga Mbowe ni division zero form six ebu cheki huo muungano unategemea nini hapo zaidi ya ujinga mtupu kwa ujinga huo wakichukua uongozi chadema inaenda kuwa kama CUF ya Lipumba
 
Sasa inatuhusu nini nyie kidaiana? Kama hamna hoja kaeni kimya🤐 mnajiaibisha.
Wenje kawa kama mvuta bangi yeye na mbowe wamekalia masimango ya kijinga jinga, hawataki kunadi sera wanajua wataiba kura wapate ushindi haramu
 
Deni lipi? Deni hewa? Mbona Mbowe hutengeneza madeni hewa kisha kujilipa pesa za chama kienyeji hujawahi muuliza?
Mkiambiwa ushahidi mnaanza kujiuma uma. Haya Dr. Mihogo kashadakwa huko nendeni mkamuwekee dhamana si mlikuwa naye online anabwabwaja kufurahisha kikundi.
 
Chadema inaenda kuwa kama NCCR TLP na CUF ya Lipumba endapo hawa wajinga wawili Mbowe na wenje wataiba kura na kushika uongozi, Akili ya wenje ni ndogo, Akili za mbowe zimedumaa anaenda kwa Akili za chawa akina Sugu wavuta bangi, ebu fikiria huo uongozi utakuaje? balaa tupu hawa wati wawili ni punguani wa kutupwa badala ya kunadi sera sasa wamekalia masimango na mambo ya hovyo tupu
 
Mkiambiwa ushahidi mnaanza kujiuma uma. Haya Dr. Mihogo kashadakwa huko nendeni mkamuwekee dhamana si mlikuwa naye online anabwabwaja kufurahisha kikundi.
Ushahidi uletewe hapo ghetto unapovuta bangi? Mbowe ndiyo kasuka mpango wa kukamatwa kwa slaa hata ushahidi uenda mtakataa kwani lengo lako wewe na mbowe ni kumdhoofisha lisu na kambi yake
 
Ushahidi uletewe hapo ghetto unapovuta bangi? Mbowe ndiyo kasuka mpango wa kukamatwa kwa slaa hata ushahidi uenda mtakataa kwani lengo lako wewe na mbowe ni kumdhoofisha lisu na kambi yake
Amtoe Kampeni manager wenu kijana - siku zinaisha awasaidie kusaka kura.
 
Sijaelewa mantiki ya hoja yake, kwamba anamdai Lissu then what?

Kwani kudaiwa ni dhambi?

Yeye anamdai milioni 10, mbona wengine tunadaiwa zaidi ya hicho kiasi na Benki lakini hawatusemi hadharani
 
Back
Top Bottom