GE2025 Wenje: Sikuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje ameeleza sababu ya yeye kuhamia Chama Cha Mapinduzi(CCM)ambapo amesema kuwa hakuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika

Akizungumza na Wasafi Media katika uwanja wa Shule ya Sekondari Kizwite Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa kwenye mwendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025 Leo Oct 19,2025

Aidha Wenje amesema alishindwa kushauri kuachana na mambo mbalimbali ambayo yalikuwa yakijadiliwa na Chama Chake Cha Zamani CHADEMA husani suala la mgomo wa uchaguzi,kusaini fomu ya Maadili na kufanya maandamano Kwa sababu alikuwa peke yake wengi wa wanachama wa Chama hicho waliunga mkono masuala hayo.
 
Wenzake wameenda CHAUMMA yeye ameenda CCM tulikuwa tunajua siku CHADEMA kikishika hatamu utawaona wanarejea na kusifusifu hivi hivi.
 
Aeneze sera za chama chake kipya sio alichotoka awake hoja mezani raia ndo wanachotaka kusikia sio porojo zake
 
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje ameeleza sababu ya yeye kuhamia Chama Cha Mapinduzi(CCM)ambapo amesema kuwa hakuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika

Akizungumza na Wasafi Media katika uwanja wa Shule ya Sekondari Kizwite Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa kwenye mwendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025 Leo Oct 19,2025

Aidha Wenje amesema alishindwa kushauri kuachana na mambo mbalimbali ambayo yalikuwa yakijadiliwa na Chama Chake Cha Zamani CHADEMA husani suala la mgomo wa uchaguzi,kusaini fomu ya Maadili na kufanya maandamano Kwa sababu alikuwa peke yake wengi wa wanachama wa Chama hicho waliunga mkono masuala hayo.

Aseme tu Ukweli. Dau limefika la kutosha ..... Amefika BEI. Unacheza na DAU la Abdul wewe ...............!!!
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje ameeleza sababu ya yeye kuhamia Chama Cha Mapinduzi(CCM)ambapo amesema kuwa hakuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika

Akizungumza na Wasafi Media katika uwanja wa Shule ya Sekondari Kizwite Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa kwenye mwendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025 Leo Oct 19,2025

Aidha Wenje amesema alishindwa kushauri kuachana na mambo mbalimbali ambayo yalikuwa yakijadiliwa na Chama Chake Cha Zamani CHADEMA husani suala la mgomo wa uchaguzi,kusaini fomu ya Maadili na kufanya maandamano Kwa sababu alikuwa peke yake wengi wa wanachama wa Chama hicho waliunga mkono masuala hayo.

Kama hakulijua hilo then hatakuwa na akili kama tulivyofikiri.

Hata hivyo ushawishi wa CCM nje ya Tanzania haiifanyi iwe Mkolono mweusi kwa raia wake wenyewe.
 
Aseme tu Ukweli. Dau limefika la kutosha ..... Amefika BEI. Unacheza na DAU la Abdul wewe ...............!!!
Abdul kala loss hapo, wenje hana influence yoyote kwenye jamii kwa sasa, wala hana uwezo wa kuhamisha upepo. Kete yoyote ya CCM kwa sasa hivi inazidi kuwachoma wenyewe
 
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje ameeleza sababu ya yeye kuhamia Chama Cha Mapinduzi(CCM)ambapo amesema kuwa hakuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika

Akizungumza na Wasafi Media katika uwanja wa Shule ya Sekondari Kizwite Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa kwenye mwendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025 Leo Oct 19,2025

Aidha Wenje amesema alishindwa kushauri kuachana na mambo mbalimbali ambayo yalikuwa yakijadiliwa na Chama Chake Cha Zamani CHADEMA husani suala la mgomo wa uchaguzi,kusaini fomu ya Maadili na kufanya maandamano Kwa sababu alikuwa peke yake wengi wa wanachama wa Chama hicho waliunga mkono masuala hayo.
Umeamua kujiunga na wasaliti wataifa hili,hivyo ni kheri kunyamaza
 
Sijui kwa nini ila midomo ya huyu Jamaa ilivyokaa ni kiubabaishaji ubabaishaji
 
Back
Top Bottom