Anapitia alimopitia Msigwa atakuja kutuliaAeneze sera za chama chake kipya sio alichotoka awake hoja mezani raia ndo wanachotaka kusikia sio porojo zake
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje ameeleza sababu ya yeye kuhamia Chama Cha Mapinduzi(CCM)ambapo amesema kuwa hakuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika
Akizungumza na Wasafi Media katika uwanja wa Shule ya Sekondari Kizwite Wilayani Sumbawanga Mkoani Rukwa kwenye mwendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025 Leo Oct 19,2025
Aidha Wenje amesema alishindwa kushauri kuachana na mambo mbalimbali ambayo yalikuwa yakijadiliwa na Chama Chake Cha Zamani CHADEMA husani suala la mgomo wa uchaguzi,kusaini fomu ya Maadili na kufanya maandamano Kwa sababu alikuwa peke yake wengi wa wanachama wa Chama hicho waliunga mkono masuala hayo.

si ndo maaana ya siasa amna shidaWenzake wameenda CHAUMMA yeye ameenda CCM tulikuwa tunajua siku CHADEMA kikishika hatamu utawaona wanarejea na kusifusifu hivi hivi.
Abdul kala loss hapo, wenje hana influence yoyote kwenye jamii kwa sasa, wala hana uwezo wa kuhamisha upepo. Kete yoyote ya CCM kwa sasa hivi inazidi kuwachoma wenyeweAseme tu Ukweli. Dau limefika la kutosha ..... Amefika BEI. Unacheza na DAU la Abdul wewe ...............!!!
Nyerere aliziitaje? Siasa za kudanga danga hivi😁si ndo maaana ya siasa amna shida
nyakati zinabadilika, mbna lowasa alikuja kwenu na hatukumuita jina lolote bayaNyerere aliziitaje? Siasa za kudanga danga hivi😁
Umeamua kujiunga na wasaliti wataifa hili,hivyo ni kheri kunyamazaAliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje ameeleza sababu ya yeye kuhamia Chama Cha Mapinduzi(CCM)ambapo amesema kuwa hakuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika