Pre GE2025 Wenje: Tunahitaji kuwa kama Zelensky, tutapinga udikteta uchwara ndani ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
TAL anaonjeshwa dawa yake mwenyewe - kuitwa dikteta wakati yeye mwenyewe hujinadi kwamba alikuwa kinara wa kumpinga dikteta.

Miaka inakwenda kasi mno.
 
TAL anaonjeshwa dawa yake mwenyewe - kuitwa dikteta wakati yeye mwenyewe hujinadi kwamba alikuwa kinara wa kumpinga dikteta.

Miaka inakwenda kasi mno.
Upigwavyo ndio uchezwavyo.
 
Nilishasema hili ni kundi la walalamikaji,bado walikuwa hawajafaa kuwa viongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…