Wenje, ukishindwa kwa haki kubaliana na aliyekushinda.View attachment 3255428
Je, ndani ya Chadema kuna dikteta uchwara?
Kama yupo ashughulikiwe mara moja kwa maslahi ya taifa.
Uchaguzi wa chadema umefanyika kwa uwazi hata mtoto wa miaka minne muulizeni leo atakuambia aliona haki ikitendeka.