N Nsarigoko JF-Expert Member Joined May 24, 2023 Posts 503 Reaction score 655 Mar 2, 2025 #21 sonofobia said: View attachment 3255428 Je, ndani ya Chadema kuna dikteta uchwara? Kama yupo ashughulikiwe mara moja kwa maslahi ya taifa. Click to expand... Wenje, ukishindwa kwa haki kubaliana na aliyekushinda. Uchaguzi wa chadema umefanyika kwa uwazi hata mtoto wa miaka minne muulizeni leo atakuambia aliona haki ikitendeka.
sonofobia said: View attachment 3255428 Je, ndani ya Chadema kuna dikteta uchwara? Kama yupo ashughulikiwe mara moja kwa maslahi ya taifa. Click to expand... Wenje, ukishindwa kwa haki kubaliana na aliyekushinda. Uchaguzi wa chadema umefanyika kwa uwazi hata mtoto wa miaka minne muulizeni leo atakuambia aliona haki ikitendeka.
900 Itapendeza zaidi JF-Expert Member Joined Nov 19, 2017 Posts 7,704 Reaction score 9,186 Mar 2, 2025 #22 sonofobia said: Atashughulikiwa kwa kosa lipi? Click to expand... Atashughulikiwa na kauli yake mwenyewe
sonofobia said: Atashughulikiwa kwa kosa lipi? Click to expand... Atashughulikiwa na kauli yake mwenyewe
Kididimo JF-Expert Member Joined Sep 20, 2016 Posts 4,153 Reaction score 3,800 Mar 2, 2025 #23 sonofobia said: View attachment 3255428 Je, ndani ya Chadema kuna dikteta uchwara? Kama yupo ashughulikiwe mara moja kwa maslahi ya taifa. Click to expand... Majungu ya Kijaluo. Wenje kwishney!
sonofobia said: View attachment 3255428 Je, ndani ya Chadema kuna dikteta uchwara? Kama yupo ashughulikiwe mara moja kwa maslahi ya taifa. Click to expand... Majungu ya Kijaluo. Wenje kwishney!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 2, 2025 #24 Muda utaongea... Cc: Mahondaw
sonofobia JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 1,171 Reaction score 4,295 Mar 3, 2025 Thread starter #25 Kididimo said: Majungu ya Kijaluo. Wenje kwishney! Click to expand... Mawazo ya Wenje yasipuuzwe.
sonofobia JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 1,171 Reaction score 4,295 Mar 3, 2025 Thread starter #26 900 Itapendeza zaidi said: Atashughulikiwa na kauli yake mwenyewe Click to expand... Chadema tuna utamaduni wa kusikilizana huu udikteta ni kitu hatujazoea.
900 Itapendeza zaidi said: Atashughulikiwa na kauli yake mwenyewe Click to expand... Chadema tuna utamaduni wa kusikilizana huu udikteta ni kitu hatujazoea.
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Mar 3, 2025 #27 sonofobia said: View attachment 3255428 Je, ndani ya Chadema kuna dikteta uchwara? Kama yupo ashughulikiwe mara moja kwa maslahi ya taifa. Click to expand... Kabisaa kamandaa mda ndioo huuu na wakati ndiooo huuu
sonofobia said: View attachment 3255428 Je, ndani ya Chadema kuna dikteta uchwara? Kama yupo ashughulikiwe mara moja kwa maslahi ya taifa. Click to expand... Kabisaa kamandaa mda ndioo huuu na wakati ndiooo huuu