Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
KADA wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM), Ezekia Wenje amesema hakuna Mtanzania atakayekubali kuandamana Oktoba 29 kwasababu hakuna msingi wa maandamano yanayotajwa. Akizungumza leo Oktoba 19, kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia CCM uliofanyika mkoani Rukwa Wenje amesema Watanzania ni watu wa kujenga hoja na sio kufuata mkumbo.