GE2025 Wenje: Unaandamanaje na haujui sababu wala Mratibu wa maandamano?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Your browser is not able to display this video.

KADA wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM), Ezekia Wenje amesema hakuna Mtanzania atakayekubali kuandamana Oktoba 29 kwasababu hakuna msingi wa maandamano yanayotajwa. Akizungumza leo Oktoba 19, kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia CCM uliofanyika mkoani Rukwa Wenje amesema Watanzania ni watu wa kujenga hoja na sio kufuata mkumbo.
 
Si matusi haya, namana ametuona sisi vichwa box hadi tuandamane bila sababu, huyu ni kunguni kabisa ¤'#*"@ zake!.
 
Mpuuzi tu hajui sababu za maandamano. Anataka uratibu apige hela?
 
Wenje ni msaliti, ni mpuuzi apuuzwe kama wapuuzi wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…