GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Changamoto tunayoiona kwenye Redio ni wamiliki wa Redio kuwaajiri watu Wenye followers wengi. Na mazingira ndiyo yametuhamisha. Kwahiyo huyu mtu mwenye 'followers' Mmiliki wa Redio anaona akichukua atamletea watu wengi"
"Ambao hao watu watamletea pesa na yeye kulipa mishahara. Athari ya hili jambo, ndio unaona maadili hayafuatwi. Vitu vya ajabu ajabu vinakwenda hewani. Namna Bora ya kutamka Maneno kwa watangazaji inakuwa hakuna" Paul Malimbo, Program Officer, Baraza la Habari Tanzania MCT.
Chanzo: cloudstv
====
Nami GENTAMYCINE kama Mdau tukuka wa Tasnia hii nasema kuwa hivi sasa 98% ya Media za nchini (tena zile Kubwa Kubwa na Maarufu) zimejaa Watangazaji hovyo hovyo (Wajinga), very Unprofessional na Wahuni tupu.
MCT nawalaumu kwa Kuchelewa Kushtuka na Kuchukua maamuzi dhidi ya huu Upuuzi ulioko katika Media za Tanzania.