Vivan cappatinho
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 284
- 238
Hadithi nyingine bhana...ningemwambia mimi ni mgeni sikuwahi kufika kwenye huo mgahawa!Wana JF nisaidien kupata jibu la swala hili mfano, wewe unaishi kwenye nyumba ya kupanga, mambo yamegoma ukalimbikiza deni la kodi ya miezi 3 sawa na Tsh 300,000/= .
Mwenye nyumba akakupa siku tatu uwe umemlipa hiyo pesa ukishindwa anakuondoa kwake,,,, Basi kesho yake ukaamkia kuitafuta hiyo pesa, sasa imefika saa 7 mchana hujapata na unahisi njaa, wakati uko mtaani unajikuta umekatiza karibu na restaurant( hoteli iayouza chakula) ,mara ukasikia mtu anakuita pale restaurant.
Ukaenda ile umefika ukamuona yule mwenye nyumba ndo anakuita, akakuagizia chakula na kukulipia ukaanza kula muda ule ule yeye akaondoka,,,ukahamia kwenye kiti alichokuwa amekalia, ukakuta wallet imejaa noti za elfu 10, ukaichukua na kuiweka mfukoni,
Dakika 3 baadae yule mwenye nyumba akarudi pale akakukuta umekalia kile kiti akakuuliza vipi ndugu umeniokotea waleti yangu hapo kwenye kiti ila sina uhakika kama nimeidondosha hapa ina Tsh Milioni1
....Je UTAKUBALI au UTAKATAA??
Unafikiri unaweza ukamjibu mwenye wallet ki urahisi tu, eti, una shida ya kufa mtu, una njaa hata kesho hujui utakula nini, ndio maana unahitaji akilikubwa kumjibu vinginevyo ubaki na matatizo yako yakutese au upate jibu la haraka ambalo halita athiri maisha yako na yakwake.Kwa swali hili akili kubwa inatumika wapi?
kwa hiyo unasema iyo ni zawadi kutoka kwa Mungu sioMe nazan hamjafikilia vizur mungu uwa atoi muujiza wa kukudondoshea hela uwa anapitia kwa mtu
Wana JF nisaidien kupata jibu la swala hili mfano, wewe unaishi kwenye nyumba ya kupanga, mambo yamegoma ukalimbikiza deni la kodi ya miezi 3 sawa na Tsh 300,000/= .
Mwenye nyumba akakupa siku tatu uwe umemlipa hiyo pesa ukishindwa anakuondoa kwake,,,, Basi kesho yake ukaamkia kuitafuta hiyo pesa, sasa imefika saa 7 mchana hujapata na unahisi njaa, wakati uko mtaani unajikuta umekatiza karibu na restaurant( hoteli iayouza chakula) ,mara ukasikia mtu anakuita pale restaurant.
Ukaenda ile umefika ukamuona yule mwenye nyumba ndo anakuita, akakuagizia chakula na kukulipia ukaanza kula muda ule ule yeye akaondoka,,,ukahamia kwenye kiti alichokuwa amekalia, ukakuta wallet imejaa noti za elfu 10, ukaichukua na kuiweka mfukoni.
Dakika 3 baadae yule mwenye nyumba akarudi pale akakukuta umekalia kile kiti akakuuliza vipi ndugu umeniokotea waleti yangu hapo kwenye kiti ila sina uhakika kama nimeidondosha hapa ina Tsh Milioni1
Je, UTAKUBALI au UTAKATAA??
Hahahahaha[emoji848] [emoji848] [emoji848] [emoji848] Sawa ina maana haiwezi kutokea.
Huo uamuzi wa hasira utakuwaje twambieSikubali wala sikatai ila nitamuua kwa hasira.
Huo uamuzi wa hasira utakuwaje twambie