GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wamekutana na Gey Z wa Nigeria hawana hamuNasikia huko mlikoenda kuzurura Jana mmemwagiwa 6 - 2,Je ni kweli au ni maneno ya wakosa misosi ?
Naona Sindano imepenya na sasa umekuja na Adabu zote.Hahahahaha ndio uwezo wenu ulipoishia..bure kabisa
🤣🤣🤣Siku za kumlaumu Mangungu zinakaribia.
Mnawezaje kua na raha huku yanga inaongozwa na matapeli. Uongozi kesho unatakiwa kuondoka ofisi za yanga. Ni amri ya mahakama.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]