Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,416
Hapa ingawa ni Mwenza ila hili neno linatumika kwa mtu / watu wanaoshirikiana, unaweza kudhani umeshinda leo na kujiona mshindi, ila ukweli ni kwamba kama mwenzako hajaridhika na kuona kwamba anaonewa nyote wawili mmeshindwa - Ukizingatia a Team is as Strong as it's Weakest Link, na ni busara kupata 'The Best' kutoka kwa mwenzako...
Ushindi wa kweli lazima uzingatie washirika wote wawili kuhisi kusikilizwa, kuheshimiwa, na kushikamana, sio mmoja kumshinda mwingine; Ushindi wa Shinikizo unazua chuki na mafanikio yapo kwenye mawasiliano na maelewano.
Sasa kinachoendelea ni kama Baba mwenye nyumba ambaye kazi yake ni kuunganisha wote, sio tu kwamba anashutumu bali ana-convince na wanafamilia wengine waone wenzao ni wabaya hivyo kuwachonganisha (divide and rule); Iwapo tunataka wote kuendelea kwenye safari moja ya maendeleo, kinachoendelea tunazidi kuzama....; Badala ya kuongelea issues zetu zinazotutatiza tunaanza kuongelea so called ushindi ambao in actual sense unazidisha nyufa.