Wenye dhambi nzito tukutane hapa

1)Nilikubali demu wangu kutoa mimba,,2)na nilimshawishi demu mwngne kutoa mimba daaah inaniumiza sana mpaka leo hii(naomba MUNGU anisamehe)

N.b; mimba hiyo ya kwanza mpaka leo sina imani nayo sana uenda alikuwa na shida na pesa tu nikipima mazingira,,nami kipindi hicho nilikuwa bze
 
Unathubutu kula mke wa mjomba

Hujui ata mjomba ni mama

Sema nini uliyofanya apa duniani siyo mageni sana cha muhimu tubu dhambi izo na hakikisha hurudii tena kuzifanya
 
Nmetetemeka sana kuna watu makatili sana !
 
Dah!!! Unaua mtu kisa milion mbili, Duh!! Kweli usimuamini mtu
 
hizi dhambi zitakutafuna mpaka kiama!
 
Bora yako umeua watu wawili tu angalau dhambi yako ni ndogo unaweza hata ukaenda peponi
 
Mi nina swali moja. Wakati ulipokua unafanya hayo matukio, ulikua unajiskiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…