wenye diploma ya MEDICAL tuwaitaje au nao ni MADOKTA??????


in medicine no!!! Huwezi kusoma masters bila kuwa na md au first degree.
 
ni lazima awe amo kwanza aafu anaenda kusomea kile anachokitaka lakini siyo kwa level ya masters. Hiyo ni postgraduate diploma kama sijakosea. Pia muhimbili hakuna amo mkuu.

Dermatology and Venereology ni advance diploma (amo) ambayo ipo muhimbili angalia hapa
 

Mkuu RMO ni Regional Medical Officer, unao wazungumzia wewe ni RMA (Rural medical attendants) hawa walikuwa darasa la saba! Hiyo kada ilfutwa tukabakiwa na clinical officers, lakin kwa sababu ya uhaba wa watumishi ikaanzishwa kada nyingine ambayo ni clinical assistant ambayo kidogo ina fanana na RMA

Suala la kujiunga vyuo vikuu ni kwa kutumia diploma zao na si vinginevyo
 
Hata ukiwa na post graduate..huwezi kusoma masters???

siwezi kuweka vigezo hapa, natumia simu ili tusiendelee kubishana. Kama unatumia pc jaribu kutafuta vyuo vya afya, labda mph
 

Asante kwa clarification hapo kwenye RMO na RMA naona nilikuwa nachanganya madesa (hata mie hawa RMA ndio nilikuwa nina mashaka nao ukisoma comment yangu maana kuna mtu nilimwacha O-level alikuwa hayupo nondo lakini baadae namkuta yupo kwenye fani)

Actually natambua huwezi ingia university kama huna Diploma tena iwe inatambulika na mamlaka husika i.e. NACTE huwa zina level I think etc (niikuwa nina maanisha hao jamaa waganga wasaidizi ndio wenye qualification sio hao RMA), otherwise mleta uzi ametufanya tupate ABC za hii fani kwa kiasi flani na kama wahusika wanapita humu wanaweza wakapatia pa kuboresha.

Changamoto ni kubwa katika hii sekta lakini kama usimamizi utakuwa mzuri kwa kuweka mobile hospital at least wanakuwa wanapita mara 1 hata kwa miezi 2 kuwa-support hawa watu tutafika tu hivyohivyo kiana.
 
Jodoki unatisha sana kwa ufafanuzi wako,wewe unafaa kuninadi jimbo la kilosa 2015,,,
 
Mwenye diploma ya medical anaitwa tabibu,(clinical officer). So hata akiitwa doctor haidhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…