wenye diploma ya MEDICAL tuwaitaje au nao ni MADOKTA??????

wenye diploma ya MEDICAL tuwaitaje au nao ni MADOKTA??????

Post graduate ninavyojua ni kubwa kuliko fist degree, sasa vp usiweze kuchukua masters ukiwa na post mpk uwe na 1st degree. Post graduate wanachukua 1st degree na advance diploma ambao hawana GPA nzuri ya kuchukua masters.
Mtu anaweza kuchukua masters bila ya kuwa na 1st degree kwa baadh ya vyuo

in medicine no!!! Huwezi kusoma masters bila kuwa na md au first degree.
 
ni lazima awe amo kwanza aafu anaenda kusomea kile anachokitaka lakini siyo kwa level ya masters. Hiyo ni postgraduate diploma kama sijakosea. Pia muhimbili hakuna amo mkuu.

Dermatology and Venereology ni advance diploma (amo) ambayo ipo muhimbili angalia hapa
 
Acha niwaachie wenye kitanda mtiririke maana mie sijui kiwango cha kunguni waliopo ila nilichosema mie huo ni mwanzo kuelekea huko kwenye degree maana watu huwa tunaponda taaluma za watu wakati tatizo sio lao ni la kimfumo kama ulivyosema hasa ukizingatia kwa muda mrefu tumekuwa na chuo kimoja cha udaktari zamani chuo kikuu kishiriki Muhimbili na ili uingie Muhimbili ulikuwa unahitaji upate ufaulu wa hali ya juu na waliokuwa wanabaki ndio walikuwa wanaingia kwenye hivi vyuo na kuwa AMO (kwa waliosoma miaka 90 wanajua kwamba ili mtu uingie chuo kama Muhimbili ulikuwa unahitaji maksi nzuri sana) (kama mtu hata kuandika jina ni issue hilo sasa ni lingine either limetokana na uchakachuaji wa udahil maana sifa za anaetakiwa kuchukua Diploma zinajulikana kama amemaliza form 6 maana yake O -level alifaulu na kupata credit na mara nyingi ili uchukuliwe lazima Chemistry na Biology uwe umepata kiwango cha C kwa O level hata huku chini tumeshuhudia watu wanaingia form 1 hawajui kusoma na kuandika), mie observation yangu ni hiyo maana nachojua kuna ambao ni RMO (Rural Medical Officer) hawa wengi wao hata mie nimewashuhudia kuna utata kuhusu ufaulu na wengi wao hupelekwa vijijini kabisa kwenye zahanati alafu hawa AMO wanakuwepo kwenye vituo vya afya na wengine wapo mpaka kwenye hospitali za wilaya na mikoa ila pia kuna hawa AMO wengi ninaowajua performance yao ilikuwa nzuri O level na wengi ni wale ambao kidato cha sita walifaulu kiwango cha kawaida ambacho hakikuwazesha kuingia university pia baada ya kufanya kazi kwa kutumia vyeti vyao hivyo hivyo huingia university za Tanzania na wengine mpaka Urusi wamekwenda

Mkuu RMO ni Regional Medical Officer, unao wazungumzia wewe ni RMA (Rural medical attendants) hawa walikuwa darasa la saba! Hiyo kada ilfutwa tukabakiwa na clinical officers, lakin kwa sababu ya uhaba wa watumishi ikaanzishwa kada nyingine ambayo ni clinical assistant ambayo kidogo ina fanana na RMA

Suala la kujiunga vyuo vikuu ni kwa kutumia diploma zao na si vinginevyo
 
Hata ukiwa na post graduate..huwezi kusoma masters???

siwezi kuweka vigezo hapa, natumia simu ili tusiendelee kubishana. Kama unatumia pc jaribu kutafuta vyuo vya afya, labda mph
 
Mkuu RMO ni Regional Medical Officer, unao wazungumzia wewe ni RMA (Rural medical attendants) hawa walikuwa darasa la saba! Hiyo kada ilfutwa tukabakiwa na clinical officers, lakin kwa sababu ya uhaba wa watumishi ikaanzishwa kada nyingine ambayo ni clinical assistant ambayo kidogo ina fanana na RMA

Suala la kujiunga vyuo vikuu ni kwa kutumia diploma zao na si vinginevyo

Asante kwa clarification hapo kwenye RMO na RMA naona nilikuwa nachanganya madesa (hata mie hawa RMA ndio nilikuwa nina mashaka nao ukisoma comment yangu maana kuna mtu nilimwacha O-level alikuwa hayupo nondo lakini baadae namkuta yupo kwenye fani)

Actually natambua huwezi ingia university kama huna Diploma tena iwe inatambulika na mamlaka husika i.e. NACTE huwa zina level I think etc (niikuwa nina maanisha hao jamaa waganga wasaidizi ndio wenye qualification sio hao RMA), otherwise mleta uzi ametufanya tupate ABC za hii fani kwa kiasi flani na kama wahusika wanapita humu wanaweza wakapatia pa kuboresha.

Changamoto ni kubwa katika hii sekta lakini kama usimamizi utakuwa mzuri kwa kuweka mobile hospital at least wanakuwa wanapita mara 1 hata kwa miezi 2 kuwa-support hawa watu tutafika tu hivyohivyo kiana.
 
Jodoki unatisha sana kwa ufafanuzi wako,wewe unafaa kuninadi jimbo la kilosa 2015,,,
 
Mwenye diploma ya medical anaitwa tabibu,(clinical officer). So hata akiitwa doctor haidhuru.
 
Back
Top Bottom