Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 808
- 878
selection teyari ,wanazungumzia wale hambao walikoswa kwenye round ya kwanza,ya pili na wale ambao hawakufanya marekebisho kwenye round zote,yaani walioandikiwa NO kwenye kozi zote,kimsingi bado wanaitaji watu ndo maana wameweka round ya tatu kwa waliokoswa na applicants wapya,kwa hiyo hata unaosema wana div3 ya 15 na kuendelea wana sifa na wameshachaguliwa tayari na vyuo vimeshawaizinisha ,rejea applicants walochaguliwa na st.joseph university wawewekewa matokeo yao kabisa kuna watu wana pts17.