Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 808
- 878
Nadharia za kitoto...huyu ana-point ngap geo=E ,math=E ,eco=F ,gs=s...kikawaida ni 2.5
gs haijumuishwi! S=0.5 kwa masomo yote co gs peke yake, kwa mfano ww c umesoma EGM ukipata Eco=E ,Geo=E ,Math=S Gs=f , utakuwa na 2.5! Gs haiesabiwi! Overr
Hio ni 2.0 kijana wala usibishe..
Hatuna haja ya kujadl k2 ambacho hakna sourc!
Nini maana ya tcu guide-book?
Nadharia za kitoto...huyu ana-point ngap geo=E ,math=E ,eco=F ,gs=s...kikawaida ni 2.5
Darius Njoo na jibu/utatuz fasaha ya hoja tajwa hapo juu ikiwa na evidence ya kutosha then tuone uelewa wa nani ni wakutiliwa mashakahahaahaahaa mkuu @ xir jyerphy vitu vidogo kama hivyo uelewii! Nina wasi wasi na uelewa wakooo kijanaaa
Kama GS haijumlishwi kwann kuna coarse zna cut point kama 2.5 au 4.5 wakata E ina point 1?
We ndo kilaza sjaonaga ata kwenye kwenye guide book imeandikwa gs does not considered kwan kama upo PCM huwez pata S ya physics...Tafakar kilaza
Darius Njoo na jibu/utatuz fasaha ya hoja tajwa hapo juu ikiwa na evidence ya kutosha then tuone uelewa wa nani ni wakutiliwa mashaka
Mazee GS inahesabiwa.Mf,ktk selection za civil engineering UD mwaka jana,GWAMAKA NJOBELO from Mzumbe aliandikiwa pts 14.5 na alikuwa na Phy-A,Chem-B,Adv/math-A,GS-S.Sa jiulize hiyo 0.5 imetoka wapi kama sio GS.
sasa hata jinsi ya ku calculate cutting point hujui..!! ndo unataka kushindana na mm! By the way nifuate UCLAS pale
Mazee GS inahesabiwa.Mf,ktk selection za civil engineering UD mwaka jana,GWAMAKA NJOBELO from Mzumbe aliandikiwa pts 14.5 na alikuwa na Phy-A,Chem-B,Adv/math-A,GS-S.Sa jiulize hiyo 0.5 imetoka wapi kama sio GS.
Kuna madem zng wa HGL hapo UCLAS k2 cha building economic acha waje wakukimbize GPA...me utankuta theatre pale MUHIMBILI nakusubir nkutoe utahira Darius
BE usome kwa HKL..never happen..angalia requrements za course..kuna engineering mechanics kule ni balaa..nakataaa katakata