Kama umetia 4 ya 26 alafu kama una C mbili katika comb uliochagua first basi tuombe mungu katika selection NA tujiandae kupigamapindi
mfano ulichagua pcb mwanzo alafu chem c bio c na phy d selection zikitoka ukiwepo usishangae kwani bado wanafunzi wenye 1 hadi 3 ni wachache.
KWANI USHAIDI UPO KWA WALE WA MWAKA JUZI KUNA WATU WAMEPIGA HIVI HIVI NA WAKACHAGULIWA SASA WAPO FORM SIX SO TUOMBE MUNGU TU KWENYE HIZO SELECTION.