Wenye div 4 ya 26 tusife moyo kwani probability ya kwenda advance ipo.

Wenye div 4 ya 26 tusife moyo kwani probability ya kwenda advance ipo.

Sheko

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
280
Reaction score
26
Kama umetia 4 ya 26 alafu kama una C mbili katika comb uliochagua first basi tuombe mungu katika selection NA tujiandae kupigamapindi
mfano ulichagua pcb mwanzo alafu chem c bio c na phy d selection zikitoka ukiwepo usishangae kwani bado wanafunzi wenye 1 hadi 3 ni wachache.
KWANI USHAIDI UPO KWA WALE WA MWAKA JUZI KUNA WATU WAMEPIGA HIVI HIVI NA WAKACHAGULIWA SASA WAPO FORM SIX SO TUOMBE MUNGU TU KWENYE HIZO SELECTION.
 
Duh kweli hata si wenye zero hata uafande tunaweza kwenda eti nasiaga hamna kusoma ni mazoezi yako tu!!!!
 
Back
Top Bottom