Wenye elimu ndogo ndio wanapenda kuvaa-vaa vizuri na kupendeza

Wenye elimu ndogo ndio wanapenda kuvaa-vaa vizuri na kupendeza

Mkuu sio nguo tu. Hata akiwa na ka laki mfukoni anataka kila mtu ajue
 
Mo dewji unamfahamu kijana msomi still yako smart analamba pamba za ukweli
 
Muda wa kuwazia kupendeza ni mdogo sana kwa watu wenye shule za ukweli.
 
Wasomi wengi pia hawachangii kwenye mada nyepesi kama hizi
 
wanawake ndio balaa, darasa LA saba anajipodoa kila aina ya mtindo.
 
Hapo umeongelea vitu viwili tofauti mkuu. Hao uliowasema wewe kwenye mfano wako ni watu kutoka makundi tofauti.
Hao kina kiba, duamond na wenzake ni wasanii, na unafam kazi ya sanaa inadeal na kuburudisha+kuelimisha na nature ya kazi zao hawawezi tu kutinga dress code za wale wa upande mwingine i.e lipumba na wenzake.
Ni kama vile ukilinganisha office proffesions na tecnichians au field oriented proffesions (plumbers, electrical and other engineers VS accountants, bankers and so) hao dress code mostly hazifanani.
Nilitegemea labda utalinganisha phd holder na bachelor/diploma holders, au wasanii wakubwa na wadogo.
 
Common sense, kiongozi. Kina Diamond, Kiba, na uliowataja kama mifano yako ya uvaaji vizuri, wako kwenye tasnia ya burudani inayo-waruhusu/wapasa kujiweka wanavyojiweka kimavazi na kimuonekano, na wengi wamejiajiri. Kuwalinganisha na wanasiasa, wasomi na watu wengine wanaojihusisha na mambo mengine mkuu sio sawa.

Aina ya uvaaji na muonekano wako, ndiyo inakutambulisha wewe ni mtu wa aina gani na uwezo wako kichwani. So mtoa mada kupitia post yako, pia tumefahamu wewe ni mtu wa aina gani na uwezo wako wa kufikiri na kuchanganua mambo, mkuu.
 
Pole sana kwa kutoka "pabaya" (Kwa mujibu wa jina lako) Na ndio maana hata akili zako "zimeathiriwa" kutokana na ulipotokea.
Asante kwa maoni yako. By the way, blouse yako imekukaa safi sana SSK (Suti Safi Kibaruani)
 
Common sense, kiongozi. Kina Diamond, Kiba, na uliowataja kama mifano yako ya uvaaji vizuri, wako kwenye tasnia ya burudani inayo-waruhusu/wapasa kujiweka wanavyojiweka kimavazi na kimuonekano, na wengi wamejiajiri. Kuwalinganisha na wanasiasa, wasomi na watu wengine wanaojihusisha na mambo mengine mkuu sio sawa.

Aina ya uvaaji na muonekano wako, ndiyo inakutambulisha wewe ni mtu wa aina gani na uwezo wako kichwani. So mtoa mada kupitia post yako, pia tumefahamu wewe ni mtu wa aina gani na uwezo wako wa kufikiri na kuchanganua mambo, mkuu.
Typical nonsense hapo kwenye bold. Tangu lini nguo zikamuongeza mtu akili? Engineers wengi na wanasayansi hususan wavumbuzi si watu wenye kujali sana muonekano wao.

NYERERE%2BMANDELA.jpg

1919345_orig.png

Huyu ni George Bush alipokuja Tanzania. Kama ungealikwa usingethubutu kukunja mikono ya shati, ungetaka uonekane kwa mavazi. Be yourself brother!

quote-i-would-say-natural-is-the-best-way-to-describe-the-real-me-i-m-not-always-going-out-paris-hilton-110-46-14.jpg

Hata ukiwa msanii haimaanishi saa zote unalipuka ili uonekane ndio una akili. Akili haziletwi na nguo. Ndio maana tuna ugomvi wa MAJOHO ya kuhitimu chuo. Hata uvishe Joho la Hariri, mjinga ni mjinga tu.
 
Umelinganisha watu ambapo wanautofauti mkubwa wa age, generation na wapo kwenye fields tofauti sana ,jaribu kulinganisha ambao wapo kwenye age,generation na field zinazofanana
 
Ndugu mtoa mada una unyanyapaa wa mavazi kuutokana na kwamba huna uwezo wa kuvaa vizuri, kwakuwa kuna baadhi wamekuunga mkono kwenye hii ndoto yako, natabiri kwamba mada yako ijayo itakuwa na kichwa cha habari; Wasiosoma ndio wanajenga na kuishi katika nyumba nzuri sio kama wasomi nguli akina prof lipumpa anayeishi ofisi za Buguruni nk nk!
 
Wewe sema huna nguo tu kuna kitu kimekutawala mpaka unashindwa kununua nguo
 
Back
Top Bottom