Wenye elimu ndogo ndio wanapenda kuvaa-vaa vizuri na kupendeza


Jifunze kusoma na kuelewa mkuu, usipende kukurupuka. Sijasema mavazi humuongezea mtu akili. Mtu yeyote timamu kichwani, anajua kupangilia mavazi kulingana na mazingira na aina ya watu atakaojihusisha nao. Ndiyo maana hao "wanasayansi na engineers" huwakuti wakivaa Air Jordans, milegezo, au kuvaa cheni wawapo makazini.

Hiyo case ya George Bush kukunja mikono ya shati, dude! That's the biggest man in the world at the moment. He didn't have to impress anyone(on that occasion), but everybody needed to impress him. Mwajiri wako anavaa anavyojisikia, ila wewe unavaa kumpendeza. Common sense boss, if you can afford.

Paris Hilton...seriously?? SMFH! How many times has she flashed the world, or blessed it with her cleavage? How many times has she been caught going commando in public? You take tips from a know drug abuse socialite? That figures.

Muonekano wako huakisi kwa kiasi kikubwa uwezo wako wa kufikiri na kuchanganua mambo. Muonekano ndio unatoa taswira yako mbele ya hadhira.
 
Mpka mtu aitwe msomi kiwango gani cha elimu anapaswa kuwa nacho tuanzie hapo kwnza
 
Usafi au utanashati ni tabia ya mtu. Mfano
Mo Dewij yuko smart tangu akiwa mtoto
Ni tabia yake
 


Hahah, nguo zinambadili mpaka maongezi. [emoji28]
 
Wenye Elimu ndogo ndio watafutaji sana na wanapesa Maana wamepoteza mda wao kwenye kutafuta

stop wishing start doing
 
Hapo umelinganisha wanamuziki na wanasiasa
Jaribu kulinganisha wanamuziki wasio na elimu na wale wenye zao {walioenda shule na wale ambao hakuenda shule}
sure...yeye kawalinganisha wanasiasa na wasanii,kitu ambacho hakileti logic
 
Mkuu....
Inategemea na mazingira ya mtu aliyokulia.
Mtizame mtu anaitwa 2CHAINZ ( Google )
amesoma hadi PhD lakini anavaa mpaka basi na anaongea pumba tupu.
 
Kupendeza au kutopendeza ni judgement ya macho ya mtu , kuna wasoomi na wasomi ,wasoomi wanakuwa affected na foolish factors in clothing ao wengine Mungu jaalia wana mambo yao mengi
 
Mkuu....
Inategemea na mazingira ya mtu aliyokulia.
Mtizame mtu anaitwa 2CHAINZ ( Google )
amesoma hadi PhD lakini anavaa mpaka basi na anaongea pumba tupu.
2 Chainz msanii. Na alikuwa anakuwa wa pili mara nyingi class kwao high school.Hata ukimkuta engineer kavaa mabwanga na manguo machafu utasema hajipendi.
 
hujaielewa Abraham Maslow's hierarchy of need, kasome tena ingawa title naiunga mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…