Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Leo nimetega job naenda kuangalia eneo linauzwa huko bahari beach lina document zote so sina wasiwasi kama ni utapeli.
Sijawahi kudeal na madalali, hivi huwa inakuwaje, nini niwe nacho makini na nikifahamu kabla sijaenda kutazama eneo?
Nasikia ukisharidhia, huwa wanataka 10% commission, hii inalipwa na mnunuzi au muuzaji?
Kama ni mnunuzi anayetoa 10%, kwa hivi viwanja vya bei ndefu, mnalipana 10% au mnakubaliana tu kiwango ambacho dalali naye atakua tayari kukipokea?
Kama unafahamu madalali waaminifu na wa kueleweka, tupe details zao kwa manufaa ya wengi.