Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Tafuta mwanasheria acha ubahili hizo ni proffessional za watu, utakuja kuliaLeo nimetega job naenda kuangalia eneo linauzwa huko bahari beach lina document zote so sina wasiwasi kama ni utapeli.
Sijawahi kudeal na madalali, hivi huwa inakuwaje, nini niwe makini nacho na nikifahamu kabla.
Nasikia ukisharidhia, huwa wanataka 10% commission, hii inalipwa na mnunuzi au muuzaji?
Kama ni mnunuzi anayetoa 10%, kwa hivi viwanja vya bei ndefu, mnalipana 10% au mnakubaliana tu kiwango ambacho dalali naye atakua tayari kukipokea?
Kama unafahamu madalali waaminifu na wa kueleweka, tupe details zao kwa manufaa ya wengi.
SawaTafuta mwanasheria acha ubahili hizo ni proffessional za watu, utakuja kulia
Hizo Documents umepata muda kuziverify kwenye mamlaka husika?? Au umeambiwa kwa mdomo kuwa documents zote zipo?? 🤣Leo nimetega job naenda kuangalia eneo linauzwa huko bahari beach lina document zote so sina wasiwasi kama ni utapeli.
Sijawahi kudeal na madalali, hivi huwa inakuwaje, nini niwe makini nacho na nikifahamu kabla.
Nasikia ukisharidhia, huwa wanataka 10% commission, hii inalipwa na mnunuzi au muuzaji?
Kama ni mnunuzi anayetoa 10%, kwa hivi viwanja vya bei ndefu, mnalipana 10% au mnakubaliana tu kiwango ambacho dalali naye atakua tayari kukipokea?
Kama unafahamu madalali waaminifu na wa kueleweka, tupe details zao kwa manufaa ya wengi.
Nataka kwenda kuona hata hicho kiwanja chenyewe kipo na kiko kwenye hali gani.Hizo Documents umepata muda kuziverify kwenye mamlaka husika?? Au umeambiwa kwa mdomo kuwa documents zote zipo?? 🤣
Asante sana, sana.Kaangalie kwanza kiwanja.
Dalali siku ya kwanza unampa hela kidogo tu. Kwahiyo usiogope.
Then unarud mwenyewe siku ingne bila dalali kuulizia kwa watu back kama zile details za mwanzo alizokupa dalali ni sahihi.
Ukikuta ni sahihi, tuma tena mtu wa pili na huyu wa Pili akutane na dalali huyo huyo ila huyu sasa awe serious kununua kiwanja na ana hela mfuko wa shati.
Ila sasa Kwa mfano Kama dalali mara ya kwanza kakuambia Mill 20, Basi huyu wa sasahiv ajidai ana Mill 10 cash. je atauziwa au lah!. Hii ndio njia utajua bei halisi ya hiko Kiwanja.
Baada ya hapo ndio unaenda Front ww kumalizia .
10% unalipia ww kwa dalali, ila lia lia ili iwe 5% kwako na 5% kwa mwenye kiwanja.
Mjini hapa
Nitafanya hivyo, asante sana!Make sure unaenda kuserch WIZARANI ada ni elfu 20 tu. Wakupatie taarifa sahihi kuhusu kiwanja usika.
KAZI ni kipimo cha utu