Wenye exposure na uzoefu wa nchi yetu mje mnipe msaada hapa

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
Nina kadogo kangu ka kike ambako hakajachaguliwa kwenda advance
Nimejaribu kukachaulia kozi zitakazokafaa kama nilivoonesha hapo chini
Je kwenye hizo kozi ipi ni useless niitoe?
IMG_20240422_142056.jpg
 
Kwa nini Vijana wengi sana siku hizi wanapenda zaidi haya masomo ya sanaa badala ya masomo ya Sayansi asilia ambayo yana uwanja mpana wa masoko ya ajira na Kazi ndani ya nchi na nje ya nchi pia?? Why?
 
Selection zimetoka ?
Achana na izo mambo za sheria kabisa bora asome logistic
Mkuu,
Mimi kwenye hizi industry tatu medicine, accountancy na Law Ni rahisi Sana kufanikiwa maana tuna mizizi

Mpaka hapa Nina kazi mkononi Sijaona hata wa Kum connect maana Kuna wakati nimewai kuwadhamini vijana kadhaa wakaniangusha

So anaweza kusoma Law na ikawa easy kufanikiwa 😊😊
 
Hiyo ya medicine na kozi zingine zinazohusika na afya ya binadamu ni bora zaidi ukilinganisha na hizo zingine.
 
Mkuu ukisha penetrate nakua na mizizi ya watu kwenye industry Ni rahisi Sanaa 😊
Haijalishi uwe kwenye masscom,law, accounts, engineering E.t.c
Familia yetu Nina ndugu wa damu ni ma advocate Mbona utawatamani so it depends ukiwa na waongoza njia very easy mkuu..
 
Course zenye soko ni zinazoingia kwenye natural resources, mfano:

1. Mambo ya Maji (Chuo cha Maji)
2. Madini (Dodoma)
3. Mazingira

Nyingine: angalia DIT achana na NIT
 
Law itabidi apigike sana mpaka kutoboa akimaliza iyo Certifiacte apige, dipmloma, alafu degree 4 years, alafu Law school
 
Mkuu,
Mimi kwenye hizi industry tatu medicine, accountancy na Law Ni rahisi Sana kufanikiwa maana tuna mizizi

Mpaka hapa Nina kazi mkononi Sijaona hata wa Kum connect maana Kuna wakati nimewai kuwadhamini vijana kadhaa wakaniangusha

So anaweza kusoma Law na ikawa easy kufanikiwa 😊😊
Gazi ya kada ipi uliyonayo mkononi
 
Back
Top Bottom