kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Shukrani mkuuSelection zimetoka ?
Achana na izo mambo za sheria kabisa bora asome logistic
HapanaSelection zimetoka ?
Achana na izo mambo za sheria kabisa bora asome logistic
Mkuu,Selection zimetoka ?
Achana na izo mambo za sheria kabisa bora asome logistic
Hiyo ya medicine na kozi zingine zinazohusika na afya ya binadamu ni bora zaidi ukilinganisha na hizo zingine.Mkuu,
Mimi kwenye hizi industry tatu medicine, accountancy na Law Ni rahisi Sana kufanikiwa maana tuna mizizi
Mpaka hapa Nina kazi mkononi Sijaona hata wa Kum connect maana Kuna wakati nimewai kuwadhamini vijana kadhaa wakaniangusha
So anaweza kusoma Law na ikawa easy kufanikiwa ππ
Mkuu ukisha penetrate nakua na mizizi ya watu kwenye industry Ni rahisi Sanaa πHiyo ya medicine na kozi zingine zinazohusika na afya ya binadamu ni bora zaidi ukilinganisha na hizo zingine.
Gazi ya kada ipi uliyonayo mkononiMkuu,
Mimi kwenye hizi industry tatu medicine, accountancy na Law Ni rahisi Sana kufanikiwa maana tuna mizizi
Mpaka hapa Nina kazi mkononi Sijaona hata wa Kum connect maana Kuna wakati nimewai kuwadhamini vijana kadhaa wakaniangusha
So anaweza kusoma Law na ikawa easy kufanikiwa ππ
Akikujibu nitag plsGazi ya kada ipi uliyonayo mkononi