Wenye Followers wengi 2016.. KIBA HAYUPO TOP 5

Ethos

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2015
Posts
2,294
Reaction score
2,083

Nimeshaanga sana Leo.. Sijawahi kujua kuwa anamfollow mtu mmoja tu Instagram...

Cha kushangaza Hayupo katika Top 5.. Kazidiwa na Vanessa mdee hata Harmonize anakaribia kumfunika..

What's happening to our King Kiba?

Pia LeWabebez LeMbatazz sijamuona labda mwakani

Naona na Udaku Special wemetupia hii

WENYE Followers Wengi 2016.. KIBA HAYUPO TOP 5 | UDAKU SPECIAL BLOG
 
Nimeshaanga sana Leo.. Sijawahi kujua kuwa anamfollow mtu mmoja tu Instagram...

Cha kushangaza Hayupo katika Top 5.. Kazidiwa na Vanessa mdee hata Harmonize anakaribia kumfunika..

What's happening to our King Kiba?
Umeishiwa vitu vya kushangaa? Wabongo bana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…