Wenye Followers wengi 2016.. KIBA HAYUPO TOP 5



Nimeshaanga sana Leo.. Sijawahi kujua kuwa anamfollow mtu mmoja tu Instagram...

Cha kushangaza Hayupo katika Top 5.. Kazidiwa na Vanessa mdee hata Harmonize anakaribia kumfunika..


What's happening to our King Kiba?
Our king??? I think is ur king
 
Hivi kwanini nyie wanawake huwa mnapenda kufatilia habari za kijinga jinga?!
Kwa hiyo Celebrity forum ilianzishwa na wajinga?

Kama una akili sana nenda Great thinker forum
 
Tatizo kila mtu akiiingia JF anajiona ana akili sana.. Mbona Jukwaa la Great thinkers linadoda?

umechemka dogo

kuna potential figures dunia hii waliokufa na wanaoishi ambao kujua wanapenwa vipi u can not rely on followers

wangapi wenye access ya net? wangapi wanatumia smart phone?

huyo kiba ni Legend kuanzia Mrembo nakshi, mac muga, cinderela....karim, n.k angeanza kuwa na followers enzi hizo 2005+plus angekuwa nao wangapi? wengi wanae mioyoni mwao...talk about golden generation

kingine, lengo ni nini?

Kiba kadiri unapomwanzishia thread maana yake amekutawala, unamuwaza, unam feel, unamfuatilia...yakikujaa moyoni unatapika

kwa nn haukumsema ricch mavoko, juma nature? simply kwa sababu huwafuatilii

kisaikolojia Kiba amekutawala

unataka sindano ingine??
 
Hakuna sindano hapo mkuu...

Kama ni mkali tokea zamani si angewazidi wengine?

Mitandao si imeawakuta wote?


Au ana depreciate?

Hata views za You Tube huwa anamkuta Mondi?

Hapa swala na Management ndio results zake tunazipima Kwa vitu kama hivi...

Dunia ya sasa useme eti mashabiki wa Moyoni utapotea


Be careful and Current!

Sad!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…