Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washamba hawazungumziwagi tena kwa kuweka bado kabisaa ili uzungumzie mshamba?huo ni ushamba+!!!Coz ana ushamba fulan hivi
ulizungukaaa weeeeee kumbe nia yako kushindanisha kiba na diamond
ebu jiamini bana, King(kwa maneno yako) atabaki kiwa king, maadam unatambua hilo
Una uhakika au ndo ilimradi na we umecomment?Kanye na Jay Z hawako kwenye mtandao wa kijamii hata mmoja
nishapunguza mkuu, hope umemjuza na huyo mrembo asikurupukePunguza povu ndugu.........
Nimeshaanga sana Leo.. Sijawahi kujua kuwa anamfollow mtu mmoja tu Instagram...
Cha kushangaza Hayupo katika Top 5.. Kazidiwa na Vanessa mdee hata Harmonize anakaribia kumfunika..
What's happening to our King Kiba?
Pia LeWabebez LeMbatazz sijamuona labda mwakani
Hivi kutamba na ngoma moja tu kashakuw mkali wa Bongo.?followers sio ishu kwan mkali wa bongo DAraSA anawangapi
Sas wew si hauna kaz ndo maana umemzid.. na jina lina jieleza Shushushu [emoji23] [emoji23]View attachment 451017View attachment 451018wewe mwenyewe nimekuzid uchangiaji jamii forum vp umepungukiwa nini mm kukuzid uchangiaji vp kesho hautakulaa
wimbo wake ndo unasema kama national anthem vileNani kukuambia DARASA Ndio mkali wa Bongo?