Wenye Followers wengi 2016.. KIBA HAYUPO TOP 5

Wenye Followers wengi 2016.. KIBA HAYUPO TOP 5

Ali kiba asipoandikwa humu huwa hakunogi endeleeni kutupa ladha
 
Nadhani Kiba anavumilia sana mana watu kila anachofanya watu wanamundama khaa!
 
ulizungukaaa weeeeee kumbe nia yako kushindanisha kiba na diamond

ebu jiamini bana, King(kwa maneno yako) atabaki kiwa king, maadam unatambua hilo

Punguza povu ndugu.........
 
Nimeshaanga sana Leo.. Sijawahi kujua kuwa anamfollow mtu mmoja tu Instagram...

Cha kushangaza Hayupo katika Top 5.. Kazidiwa na Vanessa mdee hata Harmonize anakaribia kumfunika..

What's happening to our King Kiba?

Pia LeWabebez LeMbatazz sijamuona labda mwakani

Lazima awepo au ndo inaumuhimu gani kwanza. Followers wengi ndo hela nyingi inaingia kwenye akaunti yako au?
Ebu check kama waziri mkuu ana followers wengi?
 
Lazima awepo au ndo inaumuhimu gani kwanza. Followers wengi ndo hela nyingi inaingia kwenye akaunti yako au?
Ebu check kama waziri mkuu ana followers wengi?
We jamaa ni kati ya JF members ambao hawajui kitu
 
Back
Top Bottom