Wenye FOREX kutua nchini wiki hii, Semina Bure jiandikishe

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
FXTM REG.jpg
UPDATES MAY 1,2018:
Training hii ni ya bure lakini lazima uwe umejisajiri kwa maana ya SIGN UP kama member wa FXTM ambapo kujisajiri siyo lazima uwatumie.(Wtz tuelewe msingi mkubwa wa forex ni kupata elimu,baadaye wewe utachagua broker yupi mzuri utumie.) ukisign up utapata ID no ambayo ndiyo utatumia kuingia kwa ukumbi lakini hata kama hujui utaelekezwa siku hiyo LAKINI ni vema uka SIGN UP na kupata ID no kama picha hapo juu. Siyo lazima uwe APPROVED.kikubwa ni kupata ID
KUJISAJIRI BONYEZA HAPA
------------------------------------------------

Baada ya malalamiko ya muda mrefu ya kukuatishwa tamaa na baadhi ya 'watu wa kati' wanaojiita mentor au broker ambao kimsingi ndiyo wanaifanya forex kuwa kama scam kumbe ni biashara ya kawaida ambayo msingi wake mkubwa ni kupata elimu ya kutosha na kuondoa emotion na kufuta dhana kuwa kuna fedha ya haraka haraka.

Sasa kampuni ya FXTM BROKER kutoka UK ambayo ni FT Global Limited is regulated by the International Financial Services Commission of Belize with License numbers IFSC/60/345/TS and IFSC/60/345/APM itafanya semina bure juu ya FOREX katika ukumbi wa Milmani Conference Center. Kuanzia May 5 hadi 9 bila MALIPO yahani ni BURE kabisa,watafundisha watanzania mbinu zote za FOREX. jisajili bure kwa kubonnyeza hapo==>>FXTM DAR ES SALAM REGISTER

--------------------------------------------
Seminar & Workshop events in May

As part of FXTM’s mission to educate traders around the world, we’re delighted to bring the popular Ultimate Trading Formula Seminar to Dar es Salaam.

For the first time ever, traders of all levels will have an unmissable opportunity to learn from a true colossus of FX – Andreas Thalassinos, FXTM’s Head of Education. As well as revealing his ultimate trading secrets, Mr. Thalassinos will teach participants how to:

  • Explore trading theories and develop trading strategies.
  • Get a deeper understanding of technical analysis tools such as Reversal Patterns, spotting Tops and Bottoms, and Entry Confirmation Signals.
  • Learn about Fibonacci Retracement, how to manage risk, and potential best exit/entry points.
  • Find ways to maximise earning potential.
  • Network with fellow traders.
One-day Seminar, Dar es Salaam
Date: Saturday, 5 May
Venue: Milmani Conference Center, Sam Nujoma Road, 22096, Dar es Salaam, Tanzania
Time: 09:00 – 16:00 (GMT+3)

Three-day Advanced Workshop*, Dar es Salaam
Date: Monday, 7 May – Wednesday, 9 May
Venue: CITL, Tanzanite Tower 6th floor, Mwenge Street, Dar es Salaam, Tanzania
Time: 12:00 – 17:00 (GMT+3)

Seats are limited for the events, so make sure you book yours today by clicking on the link below.==>>FXTM REGISTER FREE HERE

Don’t miss out on FXTM’s Ultimate Trading Formula seminar and workshop! FX Guru and FXTM’s Head of Education Andreas Thalassinos is heading to Dar es Salaam with two unmissable opportunities for our traders in Tanzania.

One-day Seminar: Saturday, 5 May
Participants will:

  • Explore trading theory and develop trading strategies.
  • Learn about the Fibonacci Retracement indicator.
  • Grasp different risk management techniques.
  • Identify high-probability entry and exit points.
  • Pinpoint appealing trading opportunities.
  • Discover how to maximise potential trading results.
Three-day Advanced Workshop: Monday, 7 May to Wednesday, 9 May
Participants will:

  • Delve deeper into the world of technical analysis.
  • Learn how to identify and utilise tops and bottoms on a price chart.
  • Get to know various reversal patterns and how they help trend-following traders.
  • Explore the advantages and disadvantages of entry confirmation signals.
  • Understand the intricacies behind the popular Elliott Wave theory.
These fantastic events are just around the corner so make sure you book your spots soon!
Register Now
 
Ni vzur kuongeza maarifa lakn lazma akil itumike kabla ya kuongeza Ayo maarifa
Kwel mzungu from UK ad tz bongo, akuletee mchongo wa bure tu!! Ww anakupenda sana?? Au ndugu yake
Iv wameacha ndugu zao wangap uko na wazungu wenzao ad waje uku??
Yan kuchoma gharama zote hzo for free tu

Nikki wa pili aliimba "weupe hawatufai"
Wazungu hawajafikia roho iyo kumpenda mtu mweusi na mwenye masikio asikie
 
Wanajua tu baada ya semina mtajiunga kwenye kampuni yao.
 
Ni vzur kuongeza maarifa lakn lazma akil itumike kabla ya kuongeza Ayo maarifa
Kwel mzungu from UK ad tz bongo, akuletee mchongo wa bure tu!! Ww anakupenda sana?? Au ndugu yake
Iv wameacha ndugu zao wangap uko na wazungu wenzao ad waje uku??
Yan kuchoma gharama zote hzo for free tu

Nikki wa pili aliimba "weupe hawatufai"
Wazungu hawajafikia roho iyo kumpenda mtu mweusi na mwenye masikio asikie

Simple. Wanajua watapata members na kadri unavyotrade nao wanapata faida kupitia loss,commission na spreed. kikubwa wabongo wana mihemuko ya Utajiri that is why wanashiriki vitu vya upatu kama BIKO,TATU MZUKA nk..FOREX ni real businnes kama nyingine na inahitaji sana kupunguza emotion.

mfano unaambiwa kama una dollar 100 si nzuri kutrade kabisa pair kama GOLD,GBP/USD au EUR/USD au GBP/JP maana inaweza kwenda pips 1000 kwa dk 30 bila news kama umekosea analysis. lakini kama una dollar 400 unaweka positio 2 za 0.01 huwezi unguza account hata iende kinyume vipi?..

Pia Jifunze kutumia your own analysis badala ya kupewa signals na baadhi ya mentor ambao wengine ni market maker. maana wanatoa signal ya sell wakijua ni buy..so akisababisha loss ya dollar elfu 1000 kwa aliyowapa siganal yeye anaingiza chake..
 
Mara nyingi ukiitwa kunako dili,jua wewe ndio ndio dili lenyewe.

siyo mara zote. kuna issue ya kugawana hiyo dilli na pia kutegemeana. katika forex huyu broker anakuhitaji wewe na wewe unamuhitaji..kuna shida gani kama uko interested na una muda ukafika kupata elimu just free.ukitoka akili kichwani,mambo ya kupelekwa pelekwa kama wafanyavyo wanasiasa siku hizi hatufanyi..ingekuwa ni diamond amepanga kukutana na wema siku hiyo hata angesema kiingilio ni dollar 50 ungelipa tangu jana.
 
Hii betting bhana.hapo lengo wanatafutwa wacheza kamali watakaojiunga na huyo broker.
hii kitu haiwezi kuwa biashara bali ni kamali tu moja ya sifa ya biashara ni lazima ihusishe bidhaa au huduma tofauti na hapo ni gambling.
 
Simple. Wanajua watapata members na kadri unavyotrade nao wanapata faida kupitia loss,commission na spreed. kikubwa wabongo wana mihemuko ya Utajiri that is why wanashiriki vitu vya upatu kama BIKO,TATU MZUKA nk..FOREX ni real businnes kama nyingine na inahitaji sana kupunguza emotion.

mfano unaambiwa kama una dollar 100 si nzuri kutrade kabisa pair kama GOLD,GBP/USD au EUR/USD au GBP/JP maana inaweza kwenda pips 1000 kwa dk 30 bila news kama umekosea analysis. lakini kama una dollar 400 unaweka positio 2 za 0.01 huwezi unguza account hata iende kinyume vipi?..

Pia Jifunze kutumia your own analysis badala ya kupewa signals na baadhi ya mentor ambao wengine ni market maker. maana wanatoa signal ya sell wakijua ni buy..so akisababisha loss ya dollar elfu 1000 kwa aliyowapa siganal yeye anaingiza chake..
Duu mkuu pips 1000? hakuna pair inayotembea hizo pips kwa siku. Ingawa ni kweli hizo pair zina volatility kubwa sana.
 
Simple. Wanajua watapata members na kadri unavyotrade nao wanapata faida kupitia loss,commission na spreed. kikubwa wabongo wana mihemuko ya Utajiri that is why wanashiriki vitu vya upatu kama BIKO,TATU MZUKA nk..FOREX ni real businnes kama nyingine na inahitaji sana kupunguza emotion.

mfano unaambiwa kama una dollar 100 si nzuri kutrade kabisa pair kama GOLD,GBP/USD au EUR/USD au GBP/JP maana inaweza kwenda pips 1000 kwa dk 30 bila news kama umekosea analysis. lakini kama una dollar 400 unaweka positio 2 za 0.01 huwezi unguza account hata iende kinyume vipi?..

Pia Jifunze kutumia your own analysis badala ya kupewa signals na baadhi ya mentor ambao wengine ni market maker. maana wanatoa signal ya sell wakijua ni buy..so akisababisha loss ya dollar elfu 1000 kwa aliyowapa siganal yeye anaingiza chake..
Rekebisha hapo ndugu hakuna pair ya kuweza kutembea pips 1000 kwa siku yaani ni miracle labda usemr pips 200 hizi ni maximum kwa siku
 
siyo mara zote. kuna issue ya kugawana hiyo dilli na pia kutegemeana. katika forex huyu broker anakuhitaji wewe na wewe unamuhitaji..kuna shida gani kama uko interested na una muda ukafika kupata elimu just free.ukitoka akili kichwani,mambo ya kupelekwa pelekwa kama wafanyavyo wanasiasa siku hizi hatufanyi..ingekuwa ni diamond amepanga kukutana na wema siku hiyo hata angesema kiingilio ni dollar 50 ungelipa tangu jana.
Sijaelewa mkuu!

FXTM ndio wenye forex? Uko serios kweli?

Hao FXTM wana tofauti gani na JP market?
 
Hatari sana wapiga dili kina Vancouver na The Italic wanaombuka mchana kweupe.
 
Back
Top Bottom