Wenye FOREX kutua nchini wiki hii, Semina Bure jiandikishe

Wenye FOREX kutua nchini wiki hii, Semina Bure jiandikishe

Hapo mwisho siku watawambiwa wafungue akaunt na huyo broker kwa watakaohuzulia training.
Hili limewekwa wazi kwenye email walizo tuma

Wameweka wazi Day 1 free, then iwapo utahitaji kuendelea na semina ya siku tatu LAZIMA u_deposit USD200 kwenye trading account yoko utakayofungua kwao.
 
Note:Hiyo niliweka mimi kusaka ref tu. soma hapa==>>Earn $25 for yourself and every friend or family member you bring to FXTM by using your personalised referral link on social media channels, emails, forums and websites. This section of MyFXTM is dedicated to helping you keep track of the status of your referrals and the referral earnings you’ve accumulated so far.

Wewe achana na kujisajiri wahi katika semina full stop mkuu
Kwa hiyo hakuna kujisajili kwa ajili ya seminar?
Yaani unazuka tu na Notebook na kalamu yako unaenda?
 
Mmesema mnaleta wenye forex..then kwenye kujinadi mnaji hanganya na kusema ni Brokers
 
Hizi Links za kujisajili kuna kitu sijazielewa, na pengine kuna kuibiana hapa.
Registration zinahitaji unadike email address yako, of which I have no doubt on it. Maana pengine watahitaji kukutumia baadhi ya machapisho yako kwenye email.

But pale ambazo zinahitaji uweke pia password yako ya hiyo email address hapo ndio utata unapoanza. Na cha ajabu zaidi ukiweka password ya uongo wanaigundua na wanaikataa. Najiuliza wanaitakia nini password ya personal email yangu? Yaani niwape access ya kuingia kwenye email yangu ili iweje?? Inahusiana vipi hii kitu na kufundishana Forex?

View attachment 761774
Mkuu hapo sidhani kama unaweka email ya pasword yako,bali weka strong pasword
 
Nimeweka email sahihi imkubali, nikibadili hata herufi moja tu inakataa
Mkuu me nadhani we udhulia tu seminar,then uchague broker utakaye mtaka wewe,au uchague huyo fxtm baada ya kulidhika na vigezo vyako.
 
Mkuu me nadhani we udhulia tu seminar,then uchague broker utakaye mtaka wewe,au uchague huyo fxtm baada ya kulidhika na vigezo vyako.
Poa Mkuu,
Hata hivyo nimegundua ulikua sahihi, haikuhitaji real password, bali strong password.
Nimeweka Wrong but Strong imekubali
 
Kwa hiyo hakuna kujisajili kwa ajili ya seminar?
Yaani unazuka tu na Notebook na kalamu yako unaenda?

Thank you for registering with ForexTime.

I would like to introduce myself, as your personal account Service manager.

I tried calling you but couldn’t reach you.

I called to inform you about a free seminar and workshop coming up on the 5th -9th of may in Tanzania

Seminar Venue: Milmani City Conference Centre

Dares Salam

Date : 5th May 2018

Time: 10 am

Workshop Venue: CITL Tanzanite Tower 6th floor Mawenge street

Dares Salaam.

Date : 7th -9th of may 2017

Time :10 am

Looking forward to seeing you
 
Anatafuta wateja wkt yeye mwnyw ni scammer,fxtm sio tu ni market maker lkn ni scammer,unwz kutrade ukapata faida na ukitaka kutoa pesa akazizuia,tembelea forexpeacearmy.com usome reviews kuhusu huyu broker tapeli.
 
Msiseme hamkuonywa,sio mby kwenda kujifunza lkn linapokuja suala la broker kaa mbali na huyu,wapo brokers wengi tu wazuri lkn sio huyu fxtm,kaa chonjo utakuja kulia.
 
Forex ni elimu ya kufundisha wezi jinsi ya kuiba kisomi bila kukamatwa
 
Msiseme hamkuonywa,sio mby kwenda kujifunza lkn linapokuja suala la broker kaa mbali na huyu,wapo brokers wengi tu wazuri lkn sio huyu fxtm,kaa chonjo utakuja kulia.

Tunaongelea ELIMU chief. Hakuna broker utakayempata yuko 100% perfect never. Wengi wao karibu wote ni market maker number moja. wanapata faida ama kwa commision,ukiuunguza nk.. thats why wakati wa news wanavuta spreed kama nyoka...Kikubwa watz tunahitaji elimu kubwa kuhusu forex..tusibeze elimu kama hizi tena za bure
 
Cjaongelea umarket maker,kuna market makers wazuri tu, Ila huyu nimemsema kama scammer,personally imenikuta,maana wkt naanza huyu ndo alikua broker wangu wa kwanza,ubaya ni kwamba ushahidi wote nilifuta,lkn alinikomesha,nilitoa pesa ndogo tu lkn mpk leo cjaipata na mwaka umepita sasa.
 
Sijui kama unaelewa maana ya market maker.. Hakuna market maker mzuri duniani.

Hebu nieleweshe market maker commissions zake anazikata vipi kutoka kwa trader? Ukinijibu hapo ndipo nitajua wewe umeiva au la kwenye forex.
 
Baada ya malalamiko ya muda mrefu ya kukuatishwa tamaa na baadhi ya 'watu wa kati' wanaojiita mentor au broker ambao kimsingi ndiyo wanaifanya forex kuwa kama scam kumbe ni biashara ya kawaida ambayo msingi wake mkubwa ni kupata elimu ya kutosha na kuondoa emotion na kufuta dhana kuwa kuna fedha ya haraka haraka.

Sasa kampuni ya FXTM BROKER kutoka UK ambayo ni FT Global Limited is regulated by the International Financial Services Commission of Belize with License numbers IFSC/60/345/TS and IFSC/60/345/APM itafanya semina bure juu ya FOREX katika ukumbi wa Milmani Conference Center. Kuanzia May 5 hadi 9 bila MALIPO yahani ni BURE kabisa,watafundisha watanzania mbinu zote za FOREX. jisajili bure kwa kubonnyeza hapo==>>FXTM DAR ES SALAM REGISTER

--------------------------------------------
Seminar & Workshop events in May

As part of FXTM’s mission to educate traders around the world, we’re delighted to bring the popular Ultimate Trading Formula Seminar to Dar es Salaam.

For the first time ever, traders of all levels will have an unmissable opportunity to learn from a true colossus of FX – Andreas Thalassinos, FXTM’s Head of Education. As well as revealing his ultimate trading secrets, Mr. Thalassinos will teach participants how to:

  • Explore trading theories and develop trading strategies.
  • Get a deeper understanding of technical analysis tools such as Reversal Patterns, spotting Tops and Bottoms, and Entry Confirmation Signals.
  • Learn about Fibonacci Retracement, how to manage risk, and potential best exit/entry points.
  • Find ways to maximise earning potential.
  • Network with fellow traders.
One-day Seminar, Dar es Salaam
Date: Saturday, 5 May
Venue: Milmani Conference Center, Sam Nujoma Road, 22096, Dar es Salaam, Tanzania
Time: 09:00 – 16:00 (GMT+3)

Three-day Advanced Workshop*, Dar es Salaam
Date: Monday, 7 May – Wednesday, 9 May
Venue: CITL, Tanzanite Tower 6th floor, Mwenge Street, Dar es Salaam, Tanzania
Time: 12:00 – 17:00 (GMT+3)

Seats are limited for the events, so make sure you book yours today by clicking on the link below.==>>FXTM REGISTER FREE HERE

Don’t miss out on FXTM’s Ultimate Trading Formula seminar and workshop! FX Guru and FXTM’s Head of Education Andreas Thalassinos is heading to Dar es Salaam with two unmissable opportunities for our traders in Tanzania.

One-day Seminar: Saturday, 5 May
Participants will:

  • Explore trading theory and develop trading strategies.
  • Learn about the Fibonacci Retracement indicator.
  • Grasp different risk management techniques.
  • Identify high-probability entry and exit points.
  • Pinpoint appealing trading opportunities.
  • Discover how to maximise potential trading results.
Three-day Advanced Workshop: Monday, 7 May to Wednesday, 9 May
Participants will:

  • Delve deeper into the world of technical analysis.
  • Learn how to identify and utilise tops and bottoms on a price chart.
  • Get to know various reversal patterns and how they help trend-following traders.
  • Explore the advantages and disadvantages of entry confirmation signals.
  • Understand the intricacies behind the popular Elliott Wave theory.
These fantastic events are just around the corner so make sure you book your spots soon!
Register Now
Mmeanza tena wallahi..
Yaani kama vile wapya..dah!!
 
Sijui kama unaelewa maana ya market maker.. Hakuna market maker mzuri duniani.

Hebu nieleweshe market maker commissions zake anazikata vipi kutoka kwa trader? Ukinijibu hapo ndipo nitajua wewe umeiva au la kwenye forex.
Tunaongelea uzuri wa market maker au wizi wa fxtm!?dnt try to change the subject kwa kusoma mstari mmoja wa sentensi.
 
Sijui kama unaelewa maana ya market maker.. Hakuna market maker mzuri duniani.

Hebu nieleweshe market maker commissions zake anazikata vipi kutoka kwa trader? Ukinijibu hapo ndipo nitajua wewe umeiva au la kwenye forex.
Mm nshamaliza chief,km una maslahi na fxtm pole yako,sipo kubishana nna mambo muhimu,nilitaka tu kutahadharisha watu khs huyu broker haijalishi nimeiva au lah,guys nendeni google type fxtm reviews,utapata yote khs huyu broker tapeli,usiseme hukuonywa.
 
Back
Top Bottom