Wenye FOREX kutua nchini wiki hii, Semina Bure jiandikishe

Wenye FOREX kutua nchini wiki hii, Semina Bure jiandikishe

Mm nshamaliza chief,km una maslahi na fxtm pole yako,sipo kubishana nna mambo muhimu,nilitaka tu kutahadharisha watu khs huyu broker haijalishi nimeiva au lah,guys nendeni google type fxtm reviews,utapata yote khs huyu broker tapeli,usiseme hukuonywa.
Siyo kila reviews mbaya kuhusu broker ni za kweli nyingine ni za kizushi tu usiamini kila kitu unachokisoma kwenye mtandao wa internet inabidi uchanganye na za kwako! Tatizo newbies wengi wanakuja kwenye forex trading wakiwa wameamninshwa kupata fedha nyingi kwa haraka na pia elimu ya forex huwa ni ndogo sana kwao. Kwa hiyo wakipigwa za uso na rungu la forex wanabaki chali wanaanza kusingizia huyu broker ni scammer au market maker! Hata ukimpata true ecn broker kama huna elimu ya kutosha kutrade forex utapigwa za uso tu. Hata pros wenyewe sometimes wanapigwa sembuse newbie!
 
Hawa Fxtm walinipigia simu jana kwa namba ya code namba ya uingereza wakinikaribisha kuhudhuria training,
 
to be honest FXTM sio broker mzuri late execution, spread kubwa. ECN account yao ina spread kubwa kuliko hata templer standard account ndiyo usiulize. Swala akufundishe jinsi ya kuwawinda swala NO NO use your common sense my people usijiunge na broker kisa kaja Tanzania Jiunge kwa sababu na mazingira mazuri (Favourable market condition)
 
Alafu jamaa ni mentor DarForexGroup ila alichokiandika kwenye huu uzi nawasikitikia mentee wake.
Newbies stay alerted please
 
hii ni bure.. tmt ni laki 2.. naishi karibu na mlimani.. na naenda na machale ili niwakomboe watu wasitapeliwe.. akilazimisha tu broker nashtua watu
Sio Mlimani ni Milmani elewa mkuu
 
Swala akufundishe jinsi ya kuwawinda swala NO NO use your common sense my people usijiunge na broker kisa kaja Tanzania Jiunge kwa sababu na mazingira mazuri (Favourable market condition)
Hili ndio kubwa la kuzingatia, wengi wanachagua broker kwa kufuata upepo na sio kwa kufanya utafit yakinifu, eti tumia broker fulani kisa waweza deposit kwa mpesa!!, kuna vitu vya ziada vya kuzingatia ikiwa ni pamoja na regulator wa kueleweka.

Nimechagua broker wangu watatu
- USA based mmoja na
- UK/Australia base - wawili.

Hawa broker wananiwezesha kutrade hata zile pair ambazo wengine wanazikimbia sababu ya spread kubwa ila kwa hawa brokers still spread bado ni ndogo, Na nzuri zaidi account zote ni ECN zenye commission ndogo.
 
Back
Top Bottom