Wenye FOREX kutua nchini wiki hii, Semina Bure jiandikishe

Wenye FOREX kutua nchini wiki hii, Semina Bure jiandikishe

mbona GOLD inatembea tu ndg,hata GBPJPY?..
Acha uongo wewe pips 1000 kwa dakika 30? .. labda uniambie bitcoin ila sio hizi instruments nyingine.. hata pips 100 kwa dakika 30 inatokea mara chache sana tena ikiwa kwenye events za interest rate hikes
 
mkuuu acha wiziii naa hiiiii sema una taka watu wajiunge upate pesaaa
cccccc.JPG
 
trading one master for the other, tena kwa huyu downside itakuwa kubwa mno! trust me!
 
hizo account za watz zitachezewa mpaka zilipe gharama zote alizotumia kuja tz, na training ya leo na chakula pia na gharama za siku zijazo, na cha juu cha lifetime!
 
nasikia kuna masharti, mpaka ifungue account kwa $200 au &100
 
Hili ndio kubwa la kuzingatia, wengi wanachagua broker kwa kufuata upepo na sio kwa kufanya utafit yakinifu, eti tumia broker fulani kisa waweza deposit kwa mpesa!!, kuna vitu vya ziada vya kuzingatia ikiwa ni pamoja na regulator wa kueleweka.

Nimechagua broker wangu watatu
- USA based mmoja na
- UK/Australia base - wawili.

Hawa broker wananiwezesha kutrade hata zile pair ambazo wengine wanazikimbia sababu ya spread kubwa ila kwa hawa brokers still spread bado ni ndogo, Na nzuri zaidi account zote ni ECN zenye commission ndogo.
Mkuu unaweza kuwataja hao brokers?
 
Tuanze kuleta mrejesho wa semina ilivyokuwa.
 
mmhh wameona shamba la bibi
Tickmill naye yuko njiani
 
Haya mlioenda seminar anzeni kuleta shuhuda vipi mpk sasa bado mna ndoto za KUMILIKI BMW ,BENZ, VOXHAUL .....AU NDIO TAYARI MSHAPIGWA TENA ???
 
Wenye experiencena huyu broker tafadhali.... Kati ya fxtm na exness wapi pako vizuri
 
Back
Top Bottom