Acha ushamba ndg.hiyo ni forum kama jamiiforums ambapo kila mtu anaingia na kuweka malalamiko yake nk. ukisoma mle
utaona hawa FXTM wanajibu kila lalamiko na wengi wao ni waliounguza account. Tangu uanze kufanya FOREX uliwahi kukutana na broker yeyote ana kwa ana? au mnakutanaga na mentors ambao kimsingi ndiyo wanaifanya FOREX iwe scam nk...Pia umeambiwa hakuna aliyekwambia utumie FXTM bali uhudhurie semina upate shule kisha tumia unayemtaka hata kama ni BOT.
Mbona wabongo mnakuwa hivyo lakini? hapa ukiambiwa wahi show ya mobeto kwa dollar 20 unalipia fasta. hapa umeambiwa ufike upate ELIMU FREE. Hakuna anayekufunga kama kutumia jp market,templer,xm,ticmil au fxtm ..ni wewe baada ya kusoma na kuelewa hii businness.
-------
UPDATES MAY 1,2018:
Training hii ni ya bure lakini lazima uwe umejisajiri kwa maana ya
SIGN UP kama member wa FXTM ambapo kujisajiri siyo lazima uwatumie.(Wtz tuelewe msingi mkubwa wa forex ni kupata elimu,baadaye wewe utachagua broker yupi mzuri utumie.) ukisign up utapata ID no ambayo ndiyo utatumia kuingia kwa ukumbi lakini hata kama hujui utaelekezwa siku hiyo LAKINI ni vema uka
SIGN UP na kupata ID no kama picha hapo juu. Siyo lazima uwe APPROVED.kikubwa ni kupata ID KAMA INAVYOONESHWA KATIKA POST YA KWANZA
KUJISAJIRI
BONYEZA HAPA