Wenye furaha baada ya Dr Magufuli kutangazwa kuwa rais tukutane hapa

Wenye furaha baada ya Dr Magufuli kutangazwa kuwa rais tukutane hapa

Hapana.

Mimi na sera za Magufuli mpaka tuone mwisho wake (2025). Maamuzi yake yana tija za muda mrefu (strategic). Mimi nipo siti ya mbele namuangalia dereva akifanya vitu vyake.
Dereva wa makatapila!!!!!!
 
Mimi hata njaa sisikii tena kwa furaha.

Sijui niviache tu hivi viroba?

Aaaah, potelea pote.
Kumbe ulikuwa unatumia viroba huyo uliyempa kura alivikataza pole sana mwenzangu
 
Kwa kweli, ndio.

Watu tuliopata kufanya kazi katika private sector tumekuja kuzoea kupimwa/kijipima ufanisi wako.

Hatukuichukulia kama unyanyashaji bali kama njia mojawapo ya kujiendeleza kiufanisi. Haya mambo ya kuwa "ah, nitafanya kesho" yanaondoka.

Unajipangia ni kitu gani kifanyike kwa muda unaopanga (saa, siku, wiki, mwezi) halafu unajitathmini umefanikiwa kwa kiasi gani. Kama hukufanikiwa ni kwa nini, kama umefanikiwa je ungeweza kumaliza kwa muda mfupi zaidi?

Mtu unabidi uwe ( ujiwekee) log-book yako ya unachokifanya na muda unaouchukua kukifanya. Mwanzoni utaona ni usumbufu lakini ukishazoea hii nidhamu itakusaidia hata nje ya ajira.

Hii ni muhimu sana kama utaamua kujiajiri mwenyewe.
Sawa mkuu
 
Haaaaaa haaaaaaaa haaaaaaaaaaaaa[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom