Wenye furaha baada ya Dr Magufuli kutangazwa kuwa rais tukutane hapa

Hapana.

Mimi na sera za Magufuli mpaka tuone mwisho wake (2025). Maamuzi yake yana tija za muda mrefu (strategic). Mimi nipo siti ya mbele namuangalia dereva akifanya vitu vyake.
Dereva wa makatapila!!!!!!
 
Mimi hata njaa sisikii tena kwa furaha.

Sijui niviache tu hivi viroba?

Aaaah, potelea pote.
Kumbe ulikuwa unatumia viroba huyo uliyempa kura alivikataza pole sana mwenzangu
 
Sawa mkuu
 
Haaaaaa haaaaaaaa haaaaaaaaaaaaa[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…