Papillon 1906 JF-Expert Member Joined Jun 19, 2025 Posts 228 Reaction score 753 Aug 16, 2025 #1 Wanasayansi waja na kondomu ambazo zinabadilika rangi pindi inapo gundua kama una maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama gonorrhea na kaswende. Wanetu mtaacha ndalaš©“
Wanasayansi waja na kondomu ambazo zinabadilika rangi pindi inapo gundua kama una maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama gonorrhea na kaswende. Wanetu mtaacha ndalaš©“
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,832 Reaction score 77,037 Aug 16, 2025 #2 Sawa Oops Oohs
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,719 Reaction score 60,636 Aug 16, 2025 #3 wanaendelea kuwapumbaza wa Africa tu
Shammy- JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 7,174 Reaction score 18,884 Aug 16, 2025 #5 Waje na za ukimwi
Ibilisi Mjalaana JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 8,297 Reaction score 16,529 Aug 16, 2025 #6 Hapo ntamfukua haszu kwa dakika mbili kutest wadudu wapo kwenye tope au lah, kama hawapo nakanyaga tope viatu naweka kwapani
Hapo ntamfukua haszu kwa dakika mbili kutest wadudu wapo kwenye tope au lah, kama hawapo nakanyaga tope viatu naweka kwapani
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Aug 17, 2025 #7 Migonjwa ya zinaa imezidi kichizi, kuna mjuba boo lake lina malengelenge kama kaungua moto sijua kapata wapi gonjwa hilo!
Migonjwa ya zinaa imezidi kichizi, kuna mjuba boo lake lina malengelenge kama kaungua moto sijua kapata wapi gonjwa hilo!