View attachment 2402829
Yangu ya 2009 DDA lakini imetembea hizo km.. haina shida
Sema hapo badili timing belt tuu kwa hizo Km.Nina gari Rav4 kili time ya mwaka 2000 plate namba ABB mpaka leo natembelea, imeshafikisha kilometa 223,320Km m. Hakuna fault yoyote nnayopata, dashboard haiwaki taa zingine zaid ya mafuta na mkanda.
Matatizo mengine yaliyopo ni madogo madogo tu yanarekebishika TOYOTA's don't die. Wenye gari zenye kilometa nyingi njoeni tushee uzoefu weka na picha ya dasboard yako [emoji116]View attachment 2402826
View attachment 2402827
tuishie kusema kuwa ninyi ni mabingwaSisi wenye malori ya kilomita laki 5,6 na 7 tukoment wapi?.
Hiyo nimemuomba jamaa anasema hiyo ni ya miezi mitano iliyopita.Tuwekee speedometer reading
Hiyo vibration inaweza pia kusababishwa na wheel balanceMi Yakwangu Dualis ina kawaida ya ku vibrate pale napo kanyaga mafuta nikiwa na overtake gari iliyo mbele yangu.
Msaada.
Gari ya mwaka 2009 Km 85000
Inaweza gharimu kiasi gani kwa Carina Si kubadili hiyo timing belt?Sema hapo badili timing belt tuu kwa hizo Km.
Kwa hiyo belt mie binafsi huwa naenda toyota kununua OG carina SI sina uhakika wa bei kama itazidi elfu 80 wapigie toyota k,koo branch uwape chassis no uwaulize kwa kesho namba zao hizo +255767361250Inaweza gharimu kiasi gani kwa Carina Si kubadili hiyo timing belt?
Hayo bado ni mapya sana!! Lete lori ambalo odometer imegonga 2M..Sisi wenye malori ya kilomita laki 5,6 na 7 tukoment wapi?.
Hii XF bado ni mpya kabisa haifai kuiweka hapa!Hiyo nimemuomba jamaa anasema hiyo ni ya miezi mitano iliyopita.