byakunu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 583
- 1,318
Nina gari Rav4 kili time ya mwaka 2000 plate namba ABB mpaka leo natembelea, imeshafikisha kilometa 223,320Km m. Hakuna fault yoyote nnayopata, dashboard haiwaki taa zingine zaid ya mafuta na mkanda.
Matatizo mengine yaliyopo ni madogo madogo tu yanarekebishika TOYOTA's don't die. Wenye gari zenye kilometa nyingi njoeni tushee uzoefu weka na picha ya dasboard yako [emoji116]
Matatizo mengine yaliyopo ni madogo madogo tu yanarekebishika TOYOTA's don't die. Wenye gari zenye kilometa nyingi njoeni tushee uzoefu weka na picha ya dasboard yako [emoji116]