Wenye "high-mileage cars" tupeane uzoefu

Story za vijiweni zinadai gari ndogo zenye cc 2000 kurudi chini zinaanza kusumbua kilometa zikifika laki tatu
 
Kuna hii gari iko Japan Mtandaoni, inasoma 564,286 Km,
Ila wabongo wakikuagizia ikifika wanafuta hiyo 5 ya mwanzo Inabaki na 64,286Km [emoji23], Ukweli ni kwamba
Odometer za magari yetu mengi hazina Uhalisia kutokana na mazingira ya ununuaji wa Magari yetu. Gari ya Japani yenye kilometer Laki TANO ikifika bongo ikapunguzwa si rahisi kuigundua labda ufuatilie Import detail zake kwa umakini.
 
Mimi nilinunua Nissan Xtrail kwenye NGO moja walipata magari mapya wakaioffload nikajiokotea kwa bei chee ila ilikuwa na 115,456 Km's sasa ndio nailia misele ya kazini na Kanisani. Sasa ndio nimeifikisha 117,000Km's toka niichukue mwezi wa 4 mwaka huu. Je na yenyewe ni kuu kuu na milleage imeenda sana wakuu?
 

Mkuu,
Hizo kilometa ni za kawaida sana , Asilimia kubwa ya magari yanayo nunuliwa Japan kuja bongo yana Zaidi 100,000 km ukitaka kuamini hilo angalia kwenye mitandao ya kununua hayo magari.
Yakifika bongo yanapunguzwa kilometer!
Na wafanya biashara wanahakikisha wananunua kitu kwa bei ndogo ili kwenye kuuza wapate faida.
Kwa kuwa asilimia kubwa magari yenye kilometer chache yanauzwa bei kubwa.
 
Mkuu ina maana miaka minne umetembea km 2000 tu au macho yangu anaona vibaya. Me mwenyewe kagari kangu ni mizunguko ya town tu hapa na pale lakini kilometer hizonamaliza ndanj ya mwezi na nusu mpk miwili.
 
Mkuu ina maana miaka minne umetembea km 2000 tu au macho yangu anaona vibaya. Me mwenyewe kagari kangu ni mizunguko ya town tu hapa na pale lakini kilometer hizonamaliza ndanj ya mwezi na nusu mpk miwili.

Amesema MWEZI wa Nne(4) SIYO Miaka!
 

Yaani mwez wa nne km hizo tuu? Kweli gari ya home- jon-kanisani wakati mini hizo na zitumbua mwezi tuu [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…