Imalamawazo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2021
- 1,343
- 3,269
Story za vijiweni zinadai gari ndogo zenye cc 2000 kurudi chini zinaanza kusumbua kilometa zikifika laki tatuNina gari Rav4 kili time ya mwaka 2000 plate namba ABB mpaka leo natembelea, imeshafikisha kilometa 223,320Km m. Hakuna fault yoyote nnayopata, dashboard haiwaki taa zingine zaid ya mafuta na mkanda.
Matatizo mengine yaliyopo ni madogo madogo tu yanarekebishika TOYOTA's don't die. Wenye gari zenye kilometa nyingi njoeni tushee uzoefu weka na picha ya dasboard yako [emoji116]
View attachment 2402826
View attachment 2402827