Wenye "high-mileage cars" tupeane uzoefu

Kwa hiyo belt mie binafsi huwa naenda toyota kununua OG carina SI sina uhakika wa bei kama itazidi elfu 80 wapigie toyota k,koo branch uwape chassis no uwaulize kwa kesho namba zao hizo +255767361250
Belt inahusianaje na chassis number man? Nilidhani belt kwa kuwa inafungwa kwenye injini basi inahusiana na engine number i.e. 1/2NZ, 1G, 1VD, 1HDT, 4A, 3B, 2/3/4GR nk. Saidia ufafanuzi kidogo tuelimike wengi.

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Ununuaji wa spare kwa toyota shops ni kawaida kutumia chassis number, na lengo ni kupata part number halisi kulingana na maelezo ya muundaji wa chombo hiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…