Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
overall
Overhaul
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
overall
Ya mwezi wa nne hii umeokota wapi hii picha[emoji23][emoji23]
chombo ya boss mkuuYa mwezi wa nne hii umeokota wapi hii picha[emoji23][emoji23]
Belt inahusianaje na chassis number man? Nilidhani belt kwa kuwa inafungwa kwenye injini basi inahusiana na engine number i.e. 1/2NZ, 1G, 1VD, 1HDT, 4A, 3B, 2/3/4GR nk. Saidia ufafanuzi kidogo tuelimike wengi.Kwa hiyo belt mie binafsi huwa naenda toyota kununua OG carina SI sina uhakika wa bei kama itazidi elfu 80 wapigie toyota k,koo branch uwape chassis no uwaulize kwa kesho namba zao hizo +255767361250
Ununuaji wa spare kwa toyota shops ni kawaida kutumia chassis number, na lengo ni kupata part number halisi kulingana na maelezo ya muundaji wa chombo hiko.Belt inahusianaje na chassis number man? Nilidhani belt kwa kuwa inafungwa kwenye injini basi inahusiana na engine number i.e. 1/2NZ, 1G, 1VD, 1HDT, 4A, 3B, 2/3/4GR nk. Saidia ufafanuzi kidogo tuelimike wengi.
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Nashukuru kwa kunielewesha.Ununuaji wa spare kwa toyota shops ni kawaida kutumia chassis number, na lengo ni kupata part number halisi kulingana na maelezo ya muundaji wa chombo hiko.
Gari gani hiyoMimi hy ina km 180,000 na ushee ilikuwa imepaki lkn sasa Inapiga mzigoView attachment 2414996
Allex ya 2001 hiyo now ina km 257000 hii picha ilikuwa ya mwaka jana. View attachment 2415454
starlet reflet ..... bossGari gani hiyo