Kwa utafiti ulio fit wenye mantiki nimegundua kua,
Wachangiaji wa JF wenye majina mawili wanasifa hizi,
1. Uwezo wa ni mdogo hasa katika uchangiaji
2. Wengi ni wageni/ wapya humu
3. Wanapenda kukweza na mbwembwe kibao
4. Masikini
Ila wenye jina moja na fupu, sifa yao kubwa wengi ni wakongwe, kiuchumi wako vizuri, hawana kujikweza, wanachangia vizuri, wanafurahisha.
Naomba kuwasilisha.